binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Respectfully limetukuza, tena mi nimezaliwa na kukulia mtwara nazi ilikuwa shatashata enzi hizo sijui sa hivi. Enzi hizo tunakula ubwabwa wa usiku nje kwenye mkeka na mbalamwezi.Wali na maharagwe huwezi kuulewa kama unapikwa na mtu asiyejuwa mapishi.
Wali nazi harage nazi kwanini usielewe? Unaelewa ukiacha nazi wali unawekwa hiriki?
hahahahaha,huwezi kufa njaa, ni vile uko ktk mazingira mazuri uhakika wa kula milo mitatu upoloooh!!! huko me ningekufa na njaa
We umesomea nchi gani?Nimesoma vizuri tu,, kwani shule za bweni zinapika ugali maharage tu zote dogo???????
Halafu mi sijaona dharau hapo
Wa kishua utawajua tu..Nikikumbuka shule napata PTSD, Sifanyi huo ujinga tena maishani, Mi hata wali maharage sijawahi elewa the hype.
I have a brother nadhani mkewe anachokaga kupika mboga mbili mbili kila siku, maana yeye lazima ale maharage 😏
Wa kishua utawajua tu..
Ye mwenyewe usichana wake wote na umama alikuwa hali maharage, Now uzeeni ndio anaonja onja tu. Ila mwanae wa kiume bila maharage anaweza anzisha vita 😅PTSD kula ugali maharage? Walahi this is like abusing the hands that raised you.
Kuna watu hata kula, hawajui watakula nini the nyie mnakuja na mideko ya namna hii?
We wakishua bwana, sijui nikikuoa tutadumu kweli? 😂 Maana mie nakubali maharage tena yale ya nazi,Hata sio wa kishua Gana basi tu nimeamua iwe hivyo.
Ye mwenyewe usichana wake wote na umama alikuwa hali maharage, Now uzeeni ndio anaonja onja tu. Ila mwanae wa kiume bila maharage anaweza anzisha vita 😅
Wifi yangu anampikia mumewe maharage kila siku now wapo huko waliko tuna kazi ya kuwatumia maharage ya bongo, ya kule wanasema mabaya halafu makubwa makubwa 😅We wakishua bwana, sijui nikikuoa tutadumu kweli? 😂 Maana mie nakubali maharage tena yale ya nazi,
Masikini wengi story zao ni kama zako mkuu.Ndio maana mnakuwa masikini, mnalishwa na mavyakula ya makafara na maagano ya kuzimu
We kumbe wa kishua mpk kaka ako yuko mambele? Ndo maana uko slay queen..Wifi yangu anampikia mumewe maharage kila siku now wapo huko waliko tuna kazi ya kuwatumia maharage ya bongo, ya kule wanasema mabaya halafu makubwa makubwa 😅
Gana wewe! Mbinguni utafika lakini hoi..We kumbe wa kishua mpk kaka ako yuko mambele? Ndo maana uko slay queen..
Sasa tutakaa single mpaka lini ewe binti? Kwanini tusifanye jambo la kheri kabisa mke wangu mtarajiwa?
Ndo maana nataka tufunge pingu za maisha, we huoni unazeeka? Hata Mungu hapendi bwana..Gana wewe! Mbinguni utafika lakini hoi..
Uko poa lakini? Miss you buddy
Hahah ntakuja kukusalimu usijali.Ndo maana nataka tufunge pingu za maisha, we huoni unazeeka? Hata Mungu hapendi bwana..
I'm okay, and not okay at the same time, miss you even more, sema ndo hivyo kwa pm yangu hukanyagi
Fanya hima, mke...Hahah ntakuja kukusalimu usijali.
Nimebadilika for sure, na nimeomba warudishe ila hata kunijibu Hawani jibu.Umetulia sana siku hizi, ile Ingine ndio inakupaga kichaa sio?
Maharage ni good source of protein na haigeuki wanga ikimeng'enyewa. Tf are u talking aboutUnakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Mnawatumia RoseCoco na lile lenye rangi ya chama chetu kwa mbaali 😁Wifi yangu anampikia mumewe maharage kila siku now wapo huko waliko tuna kazi ya kuwatumia maharage ya bongo, ya kule wanasema mabaya halafu makubwa makubwa 😅
Shida si kusomea nchi gani??? niulize nimesoma muda gani au kipindi kipi????We umesomea nchi gani?
Dada, Unachekesha sana, yaani una anlct kama vile wewe sio mmatumbi!!
NA WANAOKULA Tango bila ndizi?Unakula ugali na maharage, yaani huo mlo ni mlo mmoja tu wanga mtupu.
Ni kweli kwamba maharage yana protini au hamirojo, lakini hamirojo yake ni complex protein, ambayo hadi inameng,'enywa tayari inageuka kuwa wanga.
Ndugu zangu kwangu pakavu, nawashauri, bora kula ugali mchicha kuliko ugali mandondo.
Wasela wangu Ambele Mwalutondwa, George Mwashimaha na Gerald Hongoli walikiwa wakiita ugali maharage NDAMBALI NA NGUNDIMBA tukiwa sekondari huko maporini, Mwakaleli ku ilisu ipimba
Masikini wa rohoMasikini wengi story zao ni kama zako mkuu.