Kula ugali na maharage bila mboga nyingine ni sawa na kula ugali mtupu

Utakuta huyu maharage ndo yamemkuza
Binadamu jmn
 
Mie dagaa, dagaa bro dagaa....nilikula dagaa kwetu, wakiwa na michuzi, bro ni michuzi sio mchuzi

Bro nimecheka sana.
Mi sili dagaa asee hata iweje heri maharage
Ndio ujue watu tunatofautiana kiasi kikubwa, Mi dagaa hata nikila mwaka, Nakula dagaa na mihogo, wali, ugali, chips hata wakavu wale wa mwanza nakula kama snack 😩😩
 
Dah..
Mlikuwa mnasubiri niweke picha, haya basi hii hapo…..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…