Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kwamba huo mweupe ni wali au?

Kama ni wali..hahaha haujui kupka

Hujakosea hata.....

Ni ubwabwa usio na mafuta wala chumvi
Na umeiva kwa mvuke, haujatiwa maji hata kidogo.

Kuna wenye fani zao, mapishi. Mie napika kwa nadra sana walau gesi isije ikaeksipaya kabla sijaipikia 😜.
 
Mi Niko na Noelia nataka mleta visiwani umeshanifahamu [emoji23][emoji23]
baraka zako kikongwe muhimu
Na pishi lako nimelipenda liko on point kwa wazee umri ulio taradati [emoji39][emoji39]
 
kasie...🀩🀩
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa furaha mda wote.

πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Yaani siwezi sema ndio au hapana......

Ila namshukuru maulana kwa karama/ kipawa nilichopewa.


Nyimbo kama hiyo ikipigwa lazima utasikia sauti yangu na kuona jasho huwa linanitoka haraka eneo gani 😜.
 
Mi Niko na Noelia nataka mleta visiwani umeshanifahamu [emoji23][emoji23]
baraka zako kikongwe muhimu
Na pishi lako nimelipenda liko on point kwa wazee umri ulio taradati [emoji39][emoji39]


Kila la kheri mwijukulu wanne.
 
WooozaaaahhhhhπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Mkuu unamaanisha nikila tu msosi na wewe nakukula au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…