Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Upele humuota asiye na kucha
 
Upele humuota asiye na kucha
Kweli kabisa, kwa mtu aliyekuwa na vision ya kuanzisha kiwanda cha magari hamna biashara mjini hapo ambayo ungetaka kuifanya kwa pesa ya mzee ikashindwa. Big big business Models kama manufacturing, investments kama real estates!

Tatizo mwanamke akili ilikuwa inawaza designer catalogues za colognes, nguo,viatu na mapochi!

Dedication: Game inavyochange - KingZilla
 
Tena angeabzisha vitu virahisi visivohitaji akili kubwa, namhurumia hafu na yeye alichangia mzee kupata mi pressure ya bure
 
Daaah sikuhizi hata vacation za Dubai na Italy hatuzioni tena..

Teh teh teh anacheza na wamachame eeeh, huko mahakamani alikokimbilia na fake will kapata nini??
 
K Ukiona hivyo ujue hana akili ya kutafuta,anayo ya kula tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…