cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Upele humuota asiye na kuchaYani mara elfu angefungua sheli zake na kampuni ya Bima kisha akawa anakatia gari za bonite na kampuni nyingine bima angekuwa analokota pesa tu huku kwenye mafuta ndio usiseme.
Kwa sasa ajiwahi na Supermarket na vibanda vya M-PESA tu ale commission kabla hela ya ile range rover haijaisha. Atatia huruma mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu