Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah muhindi atoi hela kisenge 🤣🤣🤣!!! Ogopa sana mtu anayeuza vifungo, sindano na uzi anameki hadi ananunua prado ya 70M!Tatizo la MO ni mkono wa birika, ndo maan slay queen bado anayumba tyuuuh.
Maslay queen lazma watoke mbio maana hamna maslahi 🤣🤣🤣