Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima, ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30, hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
Na hapo kadri wanavyozidi kuishi pamoja ndivyo na mda wa kusex unavyozidi kupungua pia
 
bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima, ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30, hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
Sio kila kitu unaweza kuweka nadharia za sayansi ,kuna social theory ,needs theory mfano motivation theory ya Abrahams maslow who see sex as physiology need for human being it is necessary sio hiari
 
Wewe jamaa umemaliza yote ase
 
Sio kila kitu unaweza kuweka nadharia za sayansi ,kuna social theory ,needs theory mfano motivation theory ya Abrahams maslow who see sex as physiology need for human being it is necessary sio hiari

hakuna sehemu nimeandika sex ni hiari, nimeanisha makadirio ya muda utakayotumia kusex na mwenzi wako, kiuhalisia ni mdogo sana ukilinganisha na muda mtakaofanya mambo mengine, hivi ujasikia mtu anaambiwa yule kaolea nyege tu, unadhani ni kwanini inasemwa hivyo
 
Back
Top Bottom