Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Mbona sheria za jumba la shangazi Elizabeth II sheria zilikuwa kitabmbo
 
Diana alikuwa peace sana...kuja kuwastukia watu wenyewe anaowaheshimu ni ovyooo....akaanza kufanya mambo yake!

Hivi aliyetoa go ahead ya dayana assassination si huyo mama malikia na filip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anakuwaga na walinzi?.. ..namuonaga kivyake vyake msela yule[emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu ngoja...

Miaka sita Harry anapelekeshwa na Meghan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Late King George ana watoto wawili, Elizabeth na Margaret

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diana alikuwa peace sana...kuja kuwastukia watu wenyewe anaowaheshimu ni ovyooo....akaanza kufanya mambo yake!

Hivi aliyetoa go ahead ya dayana assassination si huyo mama malikia na filip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Diana alikuwa people's princess
Alikuwa mzuri sana na mimi sikupitwa kwa kweli nilienda St James palace kwa mbele na jeneza lilipita mbele yangu nilipokuwa nimesimama
Pia nilienda kwake Kensington palace na kushuhudia mashada ya maua yaani ni mlima
Baadae nikaenda Hyde park kumsikiliza Elton John alivyoimba wimbo wa Candle in the wind
Yaani tulilia we acha tu lakini malkia aligoma kutoka kwake mpaka alipoombwa sana ndio akajitokeza mlangoni na kuangalia mwili uliokuwa unapitishwa mbele
Queen hakuongea kitu kwa mda mrefu sana mpaka wananchi na media zote kumlilia na kusema mama ongea chochote
Bibi ana roho ngumu huyu usiombe
Naamini yalikuwa ni mauwaji yaliyopangwa maana Diana aliwavuruga haswa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]

Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]

Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!

Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…