Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Nilisoma article moja wanasema Merghan ana tabia ya kummforce mumewe prince harry na kum harras nadhani mnaelewa hapa na walicompare furaha ya Harry akiwa bado hajamuoa na sasa alipomuoa wanasema kwenye events nyingi wakiwa wame attend Harry huonekana akiwa hana furaha. So ndani ya Jumba la bibi elizabeth kunawaka motoo. But things are contradicts wwngine wana sifia na kusema malkia anamkubali merghan wengine wanasema No.
Mbona sheria za jumba la shangazi Elizabeth II sheria zilikuwa kitabmbo
 
Niliona hiyo wakati Quuen anamuonyesha Meghan picha ya Charlotte
Kweli ni mweusi fuatilia nakujua utamsoma
Ila queen Elizabeth ana roho mbaya sana ila mama yake alikuwa mzuri sana Queen mother
Naona anamchukia kwa sababu hafuati taratibu za palace kama Diana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Diana alikuwa peace sana...kuja kuwastukia watu wenyewe anaowaheshimu ni ovyooo....akaanza kufanya mambo yake!

Hivi aliyetoa go ahead ya dayana assassination si huyo mama malikia na filip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mpaka yule mama aliyekuwa ana muangalia alimwambia wewe fanya utakalo maana hatukuchungi kama kaka yako
Mpaka bangi alijaribu yaani huyu dogo kiboko lakini smart sana namkubali
Siku akitokea anga zangu labda wanikate mitama tu lakini selfie lazima

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hivi anakuwaga na walinzi?.. ..namuonaga kivyake vyake msela yule[emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kiinglishi!! Angewanyali vipi sijui..

Hey!! Donti folo folo me, luk at ur mouth, mouth like marlin fish!! Vilegs like honey badger!! Sasa sijui nyooo angeitamka vip kwa kiinglishi!!

Au ataishia kuwaimbia nyimbo za taarabu na kunung'unika kwa mafumbo
Ooh! There are people n shoes in this world!!
Oohh!! If u have it will pain em inside inside.
Oooh!! Live them, avoid 'em quickly quickly

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kama unavyomfikiria nisikiavyo Megan ni mkorofi na Prince Harry ni toy boy kwa miaka takriban 6 anapelekeshwa na huyu mdada.

Yeye na Kate hawaelewani kabisa, hii imesababisha kuvunjika kwa uhusiano wa William na Harry. Hawa vijana walikuwa karibu sana.
Hebu ngoja...

Miaka sita Harry anapelekeshwa na Meghan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mzaliwa kwenye familia ya kifalme.

Kaka yake na baba yake Eliza alikua mfalme ila aliutema baada ya kumpenda mwanamke mwingine aliyeolewa na kuwa na watoto huko hivyo ufalme akapewa baba yake Eliza ambaye hakua na mtoto mwingine zaidi ya queen eliza
Late King George ana watoto wawili, Elizabeth na Margaret

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diana alikuwa peace sana...kuja kuwastukia watu wenyewe anaowaheshimu ni ovyooo....akaanza kufanya mambo yake!

Hivi aliyetoa go ahead ya dayana assassination si huyo mama malikia na filip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Diana alikuwa people's princess
Alikuwa mzuri sana na mimi sikupitwa kwa kweli nilienda St James palace kwa mbele na jeneza lilipita mbele yangu nilipokuwa nimesimama
Pia nilienda kwake Kensington palace na kushuhudia mashada ya maua yaani ni mlima
Baadae nikaenda Hyde park kumsikiliza Elton John alivyoimba wimbo wa Candle in the wind
Yaani tulilia we acha tu lakini malkia aligoma kutoka kwake mpaka alipoombwa sana ndio akajitokeza mlangoni na kuangalia mwili uliokuwa unapitishwa mbele
Queen hakuongea kitu kwa mda mrefu sana mpaka wananchi na media zote kumlilia na kusema mama ongea chochote
Bibi ana roho ngumu huyu usiombe
Naamini yalikuwa ni mauwaji yaliyopangwa maana Diana aliwavuruga haswa

Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]

Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]

Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!

Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom