Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Sasa huyo Meghan anatoka familia gani ya maana ?...ptuuu[emoji134]

Kwao kumejaa maskendo ya kufa mtu!

Sema Harry kaamua kujibebea tu, coz yy hatakuwa mfalme basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote huyo kweli kabisa familia yake wala haina lolote basi tu na wamemkubalia kuoa kwa sababu walimuuwa mama yake
Kama watoto wa khashoqhi kupewa majumba na mali baada ya baba yao kuuwawa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwani alikuwa hapati nafasi ya kuwa free?

Chaz alikuwa hampendi so hakumjali labda waone camera...

Hivi ile koo ilitarajia Di afanyaje? Asiombe talaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka zamani sana alipokuwa anaishi Kensington palace karibu yao yaani high street kulikuwa na MacDonald alikuwa anawapeleka Will na Harry kula hapo na alikuwa anataka kuishi kama watu wa kawaida kwenda bila walinzi lakini alikuwa na walinzi hata wawili kwa mbali ingawa alikuwa hapendi
Kweli Charles alikuwa hamjali lakini haimfanyi awe huru kwani ni princess na ana ma prince ambao wapo kwenye line of thrones
Alikuwa hataki kuchungwa kabisa lakini ni lazima

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hana lolote huyo kweli kabisa familia yake wala haina lolote basi tu na wamemkubalia kuoa kwa sababu walimuuwa mama yake
Kama watoto wa khashoqhi kupewa majumba na mali baada ya baba yao kuuwawa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Jumba la kifalme ni wazi watakuwa wanafaham Harry sio damu yao kwa nini hawamtengi au kumrudisha kwa baba yake halisi?
Familia ya kifalme huwa wanaonyesha live jinsi wanavyoishi kila siku au nini kitu special kwao mpaka wapendwe ivyo.
 
Harry hana furaha ya kuishi maisha ya kubanwabanwa hapo palace na masharti lukuki, kama vipi amchukue mkewe watimkie zao Marekani wakaishi huru.
 
Mkuu hapo Harry ni mtoto wa Charles na hakuna uthibitisho kutoka kwa Charles kumkana
Malkia anampenda sana Harry na kila wakati Harry yuko kwa bibi yake ila tatizo ni hawa wawili Kate na Meghan ndio picha haziendi
Na Meghan lazima akubali masharti ya na maelekezo na tabia zote za hapo mjengoni
La sivyo ataishia kusafiri kila siku kuepuka masharti
Hapo hata kutembea unafundishwa hata kuongea pia ni nidhamu ya hali ya juu.

Hebu mwangalie Will anapoongea au kutembea utajua anaandaliwa kweli kuwa mfalme na mke wake
Sasa huyu Harry ni 6th in line to the throne yaani atakufa kabla hata ya kuwa mfalme ndio maana hawamjali sana ni Prince tu basi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Harry hana furaha ya kuishi maisha ya kubanwabanwa hapo palace na masharti lukuki, kama vipi amchukue mkewe watimkie zao Marekani wakaishi huru.
Harry ameshama pale Kengiston palace nadhani mwaka jana...pale unoko unoko!

Sasa hivi wametulia zao Nottingham cottage full kula upepo na greenish la kufa mtu!

Sema kibibi her Majesty anataka kupasuka kwa hasira! Hakutaka wahame...na ndio maana hawampendi Meghan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Hasnat aliipata pata[emoji16][emoji16]..

Yule Hewitt ni babaake Harry wamefanana sana,kingine ni kuwa Chale alikuwa hamdinyi Di...so uwezekano ni mkubwa!

Hivi kile kibibi ni kinoko mno eti eeh?

Sarah Fergie ana tamaa nae yule japo Andrew nae kapinda!

Siku hizi Sara anaishi US?

Hivi Anna kaachana na Philip kumbe? Si walirudiana wale??[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulimuona Di live?

Mzuri sana eeeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana lolote huyo kweli kabisa familia yake wala haina lolote basi tu na wamemkubalia kuoa kwa sababu walimuuwa mama yake
Kama watoto wa khashoqhi kupewa majumba na mali baada ya baba yao kuuwawa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Si ndo hapo...huyo mzee Thomas chapombe dereva tax ana nini?

Bora Doria yule mama anaonekana kidogo katulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii translator yako ina walakini mkuu
 
Jumba la kifalme ni wazi watakuwa wanafaham Harry sio damu yao kwa nini hawamtengi au kumrudisha kwa baba yake halisi?
Familia ya kifalme huwa wanaonyesha live jinsi wanavyoishi kila siku au nini kitu special kwao mpaka wapendwe ivyo.
Wamrudishe kwa babaake?[emoji134]...yy atawachukuliaje kwa mfano?

We unafikiri yote haya hayajui?...kila kitu anakijua tena kuliko sisi wadaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu ... Elizabeth anampenda mnoo Harry, yaan ukitaka queen afurahi kupita maelezo basi awepo Harry!

Kwani mkuu Meghan hana adabu??...mbona kako poa tu sema wanakafrustrate wale kama kawaida yao!

Tena jamani Meghan ashukuru kakuta kibibi Margaret kaishakufa mbona angekimbia uchumba[emoji16][emoji16]

Yule Margaret ni kivuruge si mchezo, yaan yule ni anakutimua kweupe, Di aliwataja watu wabaya Buckingham kuwa wa kwanza ni Mage,Anna, Philip na Queen...yaan hao ni vivuruge hasa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anampenda sana kwa kweli halafu kwa kuwa Harry ni mtani maana ndie aliemfundisha bibi yake kutumia smartphones utaamini
Yule Margaret alikuwa anapenda kujirusha sana na starehe kwa sana maskini na fegi ndio usiseme
Lakini alikuwa cool sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wee alimfundisha smartphone?[emoji16][emoji16][emoji16]

Mage alikuwa cool???[emoji134][emoji134][emoji16]...hebu mfatilie tena!

Umetoka kusema ndoa za watoto wa queen zimeota mbawa unajua the reason? Ni huyo huyo Mage kawaharibia[emoji848]

Alikuwa mlevi, mgomvi, na hana heshima, akiwa anahudhuria zile anniversary zao anakuja kwenye lile balcon lao yuko njwiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…