witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]Ni kweli mkuu si wajua lugha yenyewe ilikuja kwa meli baasi tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]Ni kweli mkuu si wajua lugha yenyewe ilikuja kwa meli baasi tabu tupu
Hahaaha kumbe, najua alikuwa cha pombe ila ushari nilikuwa sijuiWee alimfundisha smartphone?[emoji16][emoji16][emoji16]
Mage alikuwa cool???[emoji134][emoji134][emoji16]...hebu mfatilie tena!
Umetoka kusema ndoa za watoto wa queen zimeota mbawa unajua the reason? Ni huyo huyo Mage kawaharibia[emoji848]
Alikuwa mlevi, mgomvi, na hana heshima, akiwa anahudhuria zile anniversary zao anakuja kwenye lile balcon lao yuko njwiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Sura A...
Ila tako pasi sema tall, mi napendaga aibu zake na sauti yake akiongea[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ha ha ....alimng'ata Elizabeth?[emoji16][emoji16]kwanini?Hahaaha kumbe, najua alikuwa cha pombe ila ushari nilikuwa sijui
Ila alianza bado mdogo alkuwa anamng'ata dada yake [emoji3]
Hebu ngoja nimsome
Lakini najua Malkia ni mkali sana hata mpishi wake mmoja alieacha kazi alisema alikuwa akiitwa na kuambiwa na malkia hiki chakula hata corgi wangu hawali
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yes kabisa!...lkn ile sura ilivyokuwa nzuri, hata shape unasahau[emoji28][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio type yangu kwa kweli ila ni mzuri wa.sura tu na figure ni ya kwao sio kama black
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Out if topic.Inawezekana, maana yeye ndiye Mtu wa kwanza mwenye damu nyeusi kuingia kwenye familia hiyo ya kifalme.
Walipokuwa wadogo walilelewa pamoja ingawa queen Elizabeth alikuwa mkubwa kidogo ila nae alikuwa anampiga akitumia mashoto [emoji3][emoji3]Haha ha ha ....alimng'ata Elizabeth?[emoji16][emoji16]kwanini?
Queen mkali anaonesha hadi usoni kuwa hacheki na kima!
Inaonekana ukibahatika kupata kazi mle Buckingham umeula eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli she was so cuteYes kabisa!...lkn ile sura ilivyokuwa nzuri, hata shape unasahau[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?Walipokuwa wadogo walilelewa pamoja ingawa queen Elizabeth alikuwa mkubwa kidogo ila nae alikuwa anampiga akitumia mashoto [emoji3][emoji3]
Yaani kama ni kazi zipo na unapitia employment agency ndio wanaangalia cv yako na kama hauna criminal records na uwe na uraia
Zipo za gardening nyingi na unapewa chakula na pa kulala
Halafu kuna sherehe nyingi sana humu maana Queen kwa mwaka anaalika mara 3 watu mashuhuri na mkianza kugawa chai ni kama vikombe 270,000 na sandwiches 20,000 yaani utazunguka mpaka ukome
Buckingham palace ni kubwa sana
Labda niombe kazi ya udereva ingawa mume wa queen mbishi hataki aendeshwe mpaka akapata ajali juzi juzi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Haahaaahaaa.....Di mtundu sana sema alikuwa anajua kucheza na akili za raia[emoji16][emoji28][emoji28]Na kweli she was so cute
Na ile aibu du lakini alikuwa mtundu anaonyesha
Potelea mbali shape maana wazungu afadhali mwembamba maana wanene wao akiwa hana nguo unaweza ukabadili mawazo [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli alicheza na akili za watu yaani kila mmoja alikuwa anamkubaliHaahaaahaaa.....Di mtundu sana sema alikuwa anajua kucheza na akili za raia[emoji16][emoji28][emoji28]
Kumbe umeoa mbantu? Nilifikiri mzungu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena uwe na reference nzuri na uraia ni kigezo cha kwanzaHaaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?
Yule mzee Philip mtata sana at 90's anadrive? Kachoka kuishi Nini?[emoji16][emoji16]
Hebu niombee kibarua humo asee ...nikae karibu na kina Harry wanipe michongo[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji134][emoji16]Kweli alicheza na akili za watu yaani kila mmoja alikuwa anamkubali
Hahahha mimi mke wangu mbantu, wazungu sijawahi kuwapenda kabisa kwanza ngozi yao kama raba ukiivuta
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Asee mkuu...nikushukuru mkuu, ntakutafuta ngoja nijiweke sawa kifedha!...Tena uwe na reference nzuri na uraia ni kigezo cha kwanza
Omba visit visa uje nikutembeze kidogo
Ila kazi hupati kwa visa ya matembezi
Mzee Philip anakaribia 100 lakini mbishi hata ndege alivuka mda wa kuendesha mpaka wakamwambia sasa inatosha ndio akaacha
Lakini yupo juu ya sheria maana kesi ilifutwa pale pale ingawa alikuwa ndio mkosaji na kusababisha ajali
Bado ana nguvu sijui wanakula nini hawa watu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli mkuu...tatizo hicho kibibi hakifi leo wala kesho!Hicho kibibi malkia siku kina kufa mambo mengi sana yatabadilika kwenye makasri yao ya kifalme.
Harry tayari kavunja mwiko mmoja kwa kuoa mwanamke mwenye asili ya weusi...,
Yajayo yatafurahisha
Kweli mkuu...tatizo hicho kibibi hakifi leo wala kesho!
Ongezea miaka 15 from now bado kitakuwa kinadunda fresh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ukavunje ndoa za watu hukoe,si mshepu huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?
Yule mzee Philip mtata sana at 90's anadrive? Kachoka kuishi Nini?[emoji16][emoji16]
Hebu niombee kibarua humo asee ...nikae karibu na kina Harry wanipe michongo[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ottomanilikuwaje mkuu.