Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Wee alimfundisha smartphone?[emoji16][emoji16][emoji16]

Mage alikuwa cool???[emoji134][emoji134][emoji16]...hebu mfatilie tena!

Umetoka kusema ndoa za watoto wa queen zimeota mbawa unajua the reason? Ni huyo huyo Mage kawaharibia[emoji848]

Alikuwa mlevi, mgomvi, na hana heshima, akiwa anahudhuria zile anniversary zao anakuja kwenye lile balcon lao yuko njwiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha kumbe, najua alikuwa cha pombe ila ushari nilikuwa sijui
Ila alianza bado mdogo alkuwa anamng'ata dada yake [emoji3]
Hebu ngoja nimsome
Lakini najua Malkia ni mkali sana hata mpishi wake mmoja alieacha kazi alisema alikuwa akiitwa na kuambiwa na malkia hiki chakula hata corgi wangu hawali

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Haha ha ha ....alimng'ata Elizabeth?[emoji16][emoji16]kwanini?

Queen mkali anaonesha hadi usoni kuwa hacheki na kima!

Inaonekana ukibahatika kupata kazi mle Buckingham umeula eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana, maana yeye ndiye Mtu wa kwanza mwenye damu nyeusi kuingia kwenye familia hiyo ya kifalme.
Out if topic.
Nakumbuka shigongo aliwahi kutunga story km hii zamani ya black kutaka kuolewa kwenye jumba la kifalme,siku kadha kabla ya ndoa akagundulika ana ngoma kama aikosei,akarudshwa bongo..

Sent using Brain
 
Haha ha ha ....alimng'ata Elizabeth?[emoji16][emoji16]kwanini?

Queen mkali anaonesha hadi usoni kuwa hacheki na kima!

Inaonekana ukibahatika kupata kazi mle Buckingham umeula eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walipokuwa wadogo walilelewa pamoja ingawa queen Elizabeth alikuwa mkubwa kidogo ila nae alikuwa anampiga akitumia mashoto [emoji3][emoji3]

Yaani kama ni kazi zipo na unapitia employment agency ndio wanaangalia cv yako na kama hauna criminal records na uwe na uraia
Zipo za gardening nyingi na unapewa chakula na pa kulala
Halafu kuna sherehe nyingi sana humu maana Queen kwa mwaka anaalika mara 3 watu mashuhuri na mkianza kugawa chai ni kama vikombe 270,000 na sandwiches 20,000 yaani utazunguka mpaka ukome
Buckingham palace ni kubwa sana
Labda niombe kazi ya udereva ingawa mume wa queen mbishi hataki aendeshwe mpaka akapata ajali juzi juzi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Yes kabisa!...lkn ile sura ilivyokuwa nzuri, hata shape unasahau[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli she was so cute
Na ile aibu du lakini alikuwa mtundu anaonyesha
Potelea mbali shape maana wazungu afadhali mwembamba maana wanene wao akiwa hana nguo unaweza ukabadili mawazo [emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Walipokuwa wadogo walilelewa pamoja ingawa queen Elizabeth alikuwa mkubwa kidogo ila nae alikuwa anampiga akitumia mashoto [emoji3][emoji3]

Yaani kama ni kazi zipo na unapitia employment agency ndio wanaangalia cv yako na kama hauna criminal records na uwe na uraia
Zipo za gardening nyingi na unapewa chakula na pa kulala
Halafu kuna sherehe nyingi sana humu maana Queen kwa mwaka anaalika mara 3 watu mashuhuri na mkianza kugawa chai ni kama vikombe 270,000 na sandwiches 20,000 yaani utazunguka mpaka ukome
Buckingham palace ni kubwa sana
Labda niombe kazi ya udereva ingawa mume wa queen mbishi hataki aendeshwe mpaka akapata ajali juzi juzi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?

Yule mzee Philip mtata sana at 90's anadrive? Kachoka kuishi Nini?[emoji16][emoji16]

Hebu niombee kibarua humo asee ...nikae karibu na kina Harry wanipe michongo[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli she was so cute
Na ile aibu du lakini alikuwa mtundu anaonyesha
Potelea mbali shape maana wazungu afadhali mwembamba maana wanene wao akiwa hana nguo unaweza ukabadili mawazo [emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Haahaaahaaa.....Di mtundu sana sema alikuwa anajua kucheza na akili za raia[emoji16][emoji28][emoji28]

Kumbe umeoa mbantu? Nilifikiri mzungu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaaahaaa.....Di mtundu sana sema alikuwa anajua kucheza na akili za raia[emoji16][emoji28][emoji28]

Kumbe umeoa mbantu? Nilifikiri mzungu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli alicheza na akili za watu yaani kila mmoja alikuwa anamkubali
Hahahha mimi mke wangu mbantu, wazungu sijawahi kuwapenda kabisa kwanza ngozi yao kama raba ukiivuta

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?

Yule mzee Philip mtata sana at 90's anadrive? Kachoka kuishi Nini?[emoji16][emoji16]

Hebu niombee kibarua humo asee ...nikae karibu na kina Harry wanipe michongo[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena uwe na reference nzuri na uraia ni kigezo cha kwanza
Omba visit visa uje nikutembeze kidogo
Ila kazi hupati kwa visa ya matembezi

Mzee Philip anakaribia 100 lakini mbishi hata ndege alivuka mda wa kuendesha mpaka wakamwambia sasa inatosha ndio akaacha
Lakini yupo juu ya sheria maana kesi ilifutwa pale pale ingawa alikuwa ndio mkosaji na kusababisha ajali
Bado ana nguvu sijui wanakula nini hawa watu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hicho kibibi malkia siku kina kufa mambo mengi sana yatabadilika kwenye makasri yao ya kifalme.

Harry tayari kavunja mwiko mmoja kwa kuoa mwanamke mwenye asili ya weusi...,

Yajayo yatafurahisha
 
Asee mkuu...nikushukuru mkuu, ntakutafuta ngoja nijiweke sawa kifedha!...

Hao watu nasikia wanawekewaga mioyo ya kondoo[emoji16]..so powerful!

Yule queen mother si aliwekewa eti moyo wa bandia ( kondoo).....sijui full chai hii[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji134][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kibibi malkia siku kina kufa mambo mengi sana yatabadilika kwenye makasri yao ya kifalme.

Harry tayari kavunja mwiko mmoja kwa kuoa mwanamke mwenye asili ya weusi...,

Yajayo yatafurahisha
Kweli mkuu...tatizo hicho kibibi hakifi leo wala kesho!

Ongezea miaka 15 from now bado kitakuwa kinadunda fresh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji28]...mpaka uwe raia wa uingereza ndo unapewa kazi Buckingham?

Yule mzee Philip mtata sana at 90's anadrive? Kachoka kuishi Nini?[emoji16][emoji16]

Hebu niombee kibarua humo asee ...nikae karibu na kina Harry wanipe michongo[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ukavunje ndoa za watu hukoe,si mshepu huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom