Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

We nawe unakatwa unanijua?
Mkeo ana kitambi cha viporo basi unahisi wote tunamiliki matumbo makubwa mfyuuu..!! 😹😹😹

Mimi sio crop top tu hata naked namkalisha huyo demu wa Vietnam 😹

Hahahaha, No offense ila umejitetea kinyama 🤣, nafikiri kwa wanawake kitambi ni Tusi kubwa sana.

Nisamehe bure 🤪
 
Back
Top Bottom