Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mzee huyo bhana 😹😹hakika na hiyo simaanishi ni Mrembo no nilikuwa naonesha kuwa si mzeee weee
Sasa kama huyo ndo binti mama yake yukoje?
Halafu yuko kama wale ma-shemale 😹
Mzee huyo bhana 😹😹hakika na hiyo simaanishi ni Mrembo no nilikuwa naonesha kuwa si mzeee weee
We Komah weee 😹😹Hha kumbe Ana kitambi nilitaka niweke kambi 😢
Sijawahi kuwa na kitambi huyo kichaa hanijui anajitekenya..!! 😹Eti una kitambi hapo hapana nasema hapanaaa
Kwani mi unajua umri wangu haha kama 2000 nilikiwa la sabaMzee huyo bhana 😹😹
Sasa kama huyo ndo binti mama yake yukoje?
Halafu yuko kama wale ma-shemale 😹
Kwahiyo unakula wahenga wenzio sio mabinti 😜Kwani mi unajua umri wangu haha kama 2000 nilikiwa la saba
2005 form four , 2007 form six chuo kiluu namaliza 2011 sasa Utasema je mi mtoto weee Nina 39 years now nakuwa hapa kuchangamsha
Kazi za wajinga hizo kuanza kuweka pic hapa..!!Amesema anakujua! Tuma picha tuone usiweke sura hh
Mwenzenu anakula pisi nyie mmekazana na ngeli, kawaambia ngeli ndo inapeleka moto kwani? 😹😹Hapana wala siyo makasiriko Lamomy.
Nataka kukula na wewe uelewe showKwahiyo unakula wahenga wenzio sio mabinti 😜
Hapo sawa Kama umekubaliana huyo ni mbibi..!!
😹😹😹 Muhimu wameelewana na kei kapewa..!!"I wanted to know if you are progressing safe".... 😁
🤣🤣🤣 nilifuta hilo nena shemale nikasema nisije anzisha vita bureee... hiyo ni shemale kwa uzoefu wangu kwakweli ukitaka jua tazama face tu hiyoooWapo km wale shemale 😹😹😹
😹😹😹 Sasa unanipanga au unanichamba?Nataka kukula na wewe uelewe show
Sina show mbovu
Pili ukikubali ni Maldives au Cape Verde kula raha ! Au bahamas
Posho ni 200$ per day ila gharama zote time , ticket, hotel ni Mimi
Nafanyaga hivo si Mara ya kwanza! Ni Mara Mingi sana hasa nimewala ma celebrity wa kenya na Uganda sana
Bongo ndo connection hakuna
Kwanini Maldives! Nikupe flavors tofauti siyo kila siku kigamboni, mbezi beach sijui kitambaa hizo za watoto wa juzi,
Sikupeleki dubai maana pamezoeleka sana kila mtu dubai kupanda ngamia mchani, Nina different flavors, ila Jamaa alivyosema una kitambi nikasema haaaa
Wengine wakasema nataka niwale mademu bure eti niwatapeli, hivi niwaulize swali bongo kuna demu anaweza akagharamiwa 10,000$ per month kwamba aje atembee akakataa
Sasa kaa kwa kutulia
Haha haha kumbe no sikuchambi ila naongea😹😹😹 Sasa unanipanga au unanichamba?
Hakuna aliyekubishia tatizo ni kutuwekea huyo bibi kutuambia ni pisi kali, hapo tumekataa na tumeanza kupata mashaka kwamba unatupanga Kama pisi zenyewe ndo hizo..!! 😹😹
Mimi nishazoea chandimu na waswahili wenzangu akikosa pesa anagongea SONGESHA life linasonga..!!
Hizo dollar wape hao shemale 😹😹
Mbona hiyo huhitaji VAR kitu kinajieleza 😹😹🤣🤣🤣 nilifuta hilo nena shemale nikasema nisije anzisha vita bureee... hiyo ni shemale kwa uzoefu wangu kwakweli ukitaka jua tazama face tu hiyooo
😅😅😅 yatakuja mgeuka siku mojaaaMbona hiyo huhitaji VAR kitu kinajieleza 😹😹
Hata chiu wake unaonekana kama wa dayon yule mchaga mjinga aliyefanya surgery..!!
Yale piga nikupige awe makini 😹😹😅😅😅 yatakuja mgeuka siku mojaaa
mbonaa wewooooo 😅😅😅Yale piga nikupige awe makini 😹😹