Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

Halafu kweli wabibi 😹😹
Mimi sio mzinzi ila jamaa anaokota okota tu hana quality assurance , Mimi demu akiwa mbovu hata kumuangalia akiwa mtupu siwezi jamaa anapata ujasiri wa kutupa pesa mpaka kudinya na kujisifu kabisa šŸ˜† šŸ—‘ļø šŸ—‘ļø
 
Yeye anajali muhimu awe na nyash haijalishi yukoje 😹😹😹

Anaendeshwa na pesa na ukoromije 😹

Kwahiyo Adriz wewe sio mzinzi 😜
 
Major L ntamwaga mafile au bhasi .....VNafaka.
 
Halafu kweli wabibi 😹😹
Nani ale mabibi haha dah watu wana makasiriko

Wengine eti boresha ngeli, kwa kifupi ngeli yangu ni nzuri sana ila Kwakuwa hao Jamaa wanaonikosoa Hapa hawajawai hata kwenda popote wanadhani kila sehemu uko lazima uongee perfect English , nikiwa China nawapeleka na China English yao Hiyo Hiyo waelewe, nikiwa Vietnam Hivo Hivo , nikiwa London napeleka English yenyewe perfect ! Waache wakalie kuwaza mbaazi huko tz šŸ˜† sisi tunakula maisha ! Haters utawajua

Ona wanaosema eti wazee haha šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ™ŒšŸ¼
 
Yeye anajali muhimu awe na nyash haijalishi yukoje 😹😹😹

Anaendeshwa na pesa na ukoromije 😹

Kwahiyo Adriz wewe sio mzinzi 😜
Mimi Mzee wa No Fap natunza energy yangu pisi Kali nilizozikataa Mimi ingekuwa venchwa angetoa nyumba kabisa šŸ˜‚

Mtu wa mazoezi, kusoma na Ibada ila sasa hatari inaninyemelea huwezi kushindana na asili nasubiri nijitafute kidogo nioe maana hali mbaya haswa mitaa ya Dar pisi zinakaa kihasara nje nje kuishi maisha ya ni mtihani sana šŸ˜Ž
 
Duh ! Sio AI kweli ?

Haya Mzee , mimi kwa usongo nilionao nikitoboa nitatafuta mmoja wa kuoa hakuna pisi atakayekula pesa zangu hovyo hata 100
AI Kivipi wewe haha
5e040019-592b-4f24-b4bc-b187682c62ae.jpeg
 
Duh ! Sio AI kweli ?

Haya Mzee , mimi kwa usongo nilionao nikitoboa nitatafuta mmoja wa kuoa hakuna pisi atakayekula pesa zangu hovyo hata 100
 
Back
Top Bottom