Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

Big NO 👎🏾
Ushawahi kuwa na mtoto mchanga anaelia usiku na halali,Kisha mama anamnyonyesha Baba anamcheulisha mtoto kwa kumuweka begani mpaka analala,hiyo ni alfajiri mzee katoto kangu kanalala mimi naoga naenda kazini.

Money can’t buy such a thing mzee.
Kipindi anasumbuliwa na tumbo ..

Mida ya Saa 8 usiku hv kanaanza kulia mama mtu kachoka .. namchukua kevoo wangu hao sebuleni .. kipindi hiko ed Sheeran kaachia album yake ya ÷ ... Ni kusema nae na kuimba nae mpaka kieleweke ...

Ukitaka kumlaza hataki anaenjoy tuu ...

Ase
Asee gademit naunga mguu hoja pesa haiwezi nunua moment ka hizi

MIN me
 
Wengi wanaweza kuzalisha Lakini wachache wanaweza kuwa Kina Baba ...

Yaani hapo Bond tuliyo nayo na huyo jamaa angu ni Strong Hadi siyo powaaa
 
Kipindi anasumbuliwa na tumbo ..

Mida ya Saa 8 usiku hv kanaanza kulia mama mtu kachoka .. namchukua kevoo wangu hao sebuleni .. kipindi hiko ed Sheeran kaachia album yake ya ÷ ... Ni kusema nae na kuimba nae mpaka kieleweke ...

Ukitaka kumlaza hataki anaenjoy tuu ...

Ase
Asee gademit naunga mguu hoja pesa haiwezi nunua moment ka hizi

MIN me

Kisa kingine nikupe ambacho mama watoto wangu huwa ananikumbusha sana:
Nakumbuka ilikua jumamosi tumetoka jumuia na tumbo lake anataka mihongo ya kukaanga,Nikafunga safari kwenda ifuata,
Kurudi chupa ya uzazi imepasuka mama amesimama mlangoni, tukapakia vitu kwa gari kwenda Hosiii
Nikafika akapimwa njia akaambiwa asubiri uchungu na njia ifunguke zaidi,tuko wawili tu hapo eti mimi na yeye

Bahati mbaya njia haikufunguka na uchungu ukakata baada ya masaa tukaambiwa no way ni operation,

Nikamwambia utashinda hili nikamkisi kwa paji la uso nikamwambia ,niko hapa nje nakusubiri wewe na mwanangu. Nilikaa desk ya chumba cha upasuaji mpaka anatoka nikiwa peke yangu.

You can’t buy this moment mzee.
 
Kipindi anasumbuliwa na tumbo ..

Mida ya Saa 8 usiku hv kanaanza kulia mama mtu kachoka .. namchukua kevoo wangu hao sebuleni .. kipindi hiko ed Sheeran kaachia album yake ya ÷ ... Ni kusema nae na kuimba nae mpaka kieleweke ...

Ukitaka kumlaza hataki anaenjoy tuu ...

Ase
Asee gademit naunga mguu hoja pesa haiwezi nunua moment ka hizi

MIN me
How is Kevoo doing?
 
Big NO 👎🏾
Ushawahi kuwa na mtoto mchanga anaelia usiku na halali,Kisha mama anamnyonyesha Baba anamcheulisha mtoto kwa kumuweka begani mpaka analala,hiyo ni alfajiri mzee katoto kangu kanalala mimi naoga naenda kazini.

Money can’t buy such a thing mzee.sl
Shida ni kwamba ulichelewa kutoa matunzo kwa mama kipindi bado mjamzito mwisho wa sku mama kajifungua mtoto ila hana maziwa yakutosha so inapelekea mtoto kuria usku kucha sabu apati maziwa yakutosha
 
Back
Top Bottom