Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Sijui kapatwa na nn huyu kaka, siku hizi anapuyanga hadi aibu tunaona sisi wasomaji. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Hiki kikombe always huwa kinawaangukia Single Fathers na Wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.Ikiwa watoto ndio walifanya njama na mama yao ya mauaji ili wamiliki mali. Basi wote hawatahusishwa.
Kabisa. Na upo sahihi mtibeli.
Aisee! Hiki kikombe always huwa kinawaangukia Single Fathers na Wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sheria ya wapi Mkuu?Kwani sheria inasemaje, tuanzie hapo
Watibeli hatukandamizi kiumbe yeyote hata kuku. Sembuse MwanamkeHakuna hila yeyote wamekiri pande zote walikuwa wazinifu .
Ukweli ni kwamba sheria haipo labda kama unataka kumkandamiza mwanamke .
Wacha wee! We bro inaonyesha ni kauzu sana
Nimegundua Mtibeli ni bwege bwege kama walivyo wengine....π€£
Mwanamke anaingia kwenye maisha yako tangu day 1 nia ni kukutapeli kupitia mahakama zetu.Watu wanapenda dhulma ndio maana hawataki haki na Ukweli.
Wanataka kuchukua mali za haramu ambazo sio halali yao
Mwanamke anaingia kwenye maisha yako tangu day 1 nia ni kukutapeli kupitia mahakama zetu.
Kuwa makini. Masomo mengine ni ya upotoshaji. Na hili ni mojawapo. Bora ujifunze kujua sheria inasemaje kuliko kusikiliza porojo.Somo zuri, JF ni chuo cha mafunzo.
Kuwa makini. Masomo mengine ni ya upotoshaji. Na hili ni mojawapo. Bora ujifunze kujua sheria inasemaje kuliko kusikiliza porojo.
Hizo sheria zina ulinzi gani mahakamani au utaishia kusema tu kuwa ni "sheria kwa watibeli"?Upotoshaji upo wapi hapo Mkuu?
Hizo ni sheria kwa Watibeli.
Sasa tuambie ni kipi ni upotoshaji hapo, kipi sio haki hapo, kipi sio Upendo hapo? Kipi sio Kweli hapo? Kipi sio Akili hapo?
Au unataka zile Sheria za kitapeli?
Wala sjaumia mkuu , ulipaswa kunipongeza , kuepuka kifungo cha ndoa sio jambo la kitoto .Pole sana mkuu
We jamaa haupo sawa kichwani
Hizo sheria zina ulinzi gani mahakamani au utaishia kusema tu kuwa ni "sheria kwa watibeli"?
Unatafuta ushindaniToa hoja kutetea maoni yako.
Kipi nimeandika kimekufanya uone sipo sawa kichwani?
Alafu itabainika nani yupo sawa kichwani na nani hamnazo
Wala sjaumia mkuu , ulipaswa kunipongeza , kuepuka kifungo cha ndoa sio jambo la kitoto .