Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

Hakuna hila yeyote wamekiri pande zote walikuwa wazinifu .
Ukweli ni kwamba sheria haipo labda kama unataka kumkandamiza mwanamke .
 
Kuwa makini. Masomo mengine ni ya upotoshaji. Na hili ni mojawapo. Bora ujifunze kujua sheria inasemaje kuliko kusikiliza porojo.

Upotoshaji upo wapi hapo Mkuu?
Hizo ni sheria kwa Watibeli.
Sasa tuambie ni kipi ni upotoshaji hapo, kipi sio haki hapo, kipi sio Upendo hapo? Kipi sio Kweli hapo? Kipi sio Akili hapo?

Au unataka zile Sheria za kitapeli?
 
Hizo sheria zina ulinzi gani mahakamani au utaishia kusema tu kuwa ni "sheria kwa watibeli"?
 
Hizo sheria zina ulinzi gani mahakamani au utaishia kusema tu kuwa ni "sheria kwa watibeli"?

Unafikiri ni kwa nini hizo unazoita Mahakama mara nyingi Watu husema hakuna Haki? Hukumsikia Rostam, hukumsikia Makonda,
Huko ndio unaita kunaulinzi?

Watibeli tunajua kipi cha kufanya.
 
Back
Top Bottom