PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,867
- 23,482
Sasa beki tatu naye si mtu jamani, mnasemaje ananyanyaswa ikiwa anashawishiwa in the same manner kama mtoto yeyote wa kike na anaridhia kutoa mali?
Kama kubakwa si anapiga kelele majirani watakuja kuwafumanieni au anamueleza mkeo kwamba anabakwa. Akiliwa na boda boda wa mtaani mbona hamsemi kabakwa?
Bro kama unafikiri kama hivi ukiwa mbele ya watu nyamaza, una safari ndefu sana ya kujifunza kuhusu nini kinachoendelea