Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema.

Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa.

Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro mmoja, walikuwa na maisha yao. Yeye ana biashara zake, mke pia NAYE kaajiriwa. Mara nyingi bro anatoka mapema au anarudi muda wowote.

Sasa ikatokea wakaleta beki mmoja binti mrembo, mpole, hana mambo mengi Kwa kumtazama YAANI ni kama ana nidhamu sana ila NDO hivyo.

Mimi sikuwa najua chochote mwanzoni wakati huo nasoma twisheni ya advance kule mchikichini, Ila huyu beki mwenyewe ndio alikuja kunidokeza kwa siri. Akanieleza jinsi mambo yalivyoanza anasema MKE WA bro alikuwa hampi bro mara NYINGI Yuko bize na akiwa off anachoka sana ni kulala TU hataki guswa, wakati mwingine wiki nzima au hata mbili hakuna ukaribu wowote..

Ndipo bro akaanza kumzoea beki polepole. Mwanzoni ni mazoea tu, baadaye akageuka MKE mdogo. Hata hela akaanza kumpa pembeni mshahara wake wa kawaida unapitia kwa wife, lakini yeye akawa anaongeza nyingine kwa siri.

Siku moja nilishuhudia tukio ambalo lilinifanya nianze kuelewa kila kitu. Nilikuwa nimerudi mapema, nikaingia chumbani kwangu. Chumba changu kilikuwa kinaangaliana na cha bro. Ghafla nikamuona bro anaingia room kwake, wakati huo beki alikuwa anamalizoa kufua.

Baada ya muda mfupi, beki akaingia humo humo chumbani lahaula nikashangaa SABABU HATA bro hakujua kama nimesharudi maana Huwa ananipigia simu kama nishatudi ila siku hiyo hakufanya Sasa ile room yangu ilikuwa inatazamana na yake Kwa angle flani kana kwamba nikilegeza mlango naona anaeingia humo.

Basi BAADA ya beki kuingia mo, hali likuwa tulivu sana, lakini ile hali tu ilinipa mashaka. Nikatoka kimya nikakaa sebuleni kama sijui chochote ili NISIKIE chochote SIKUFANIKIWA , walitumia muda mrefu kidogo.

Alipotoka beki, alikuwa na haraka sana, kijasho kinamtoka ni kama amesweti sana kanganga imetepeta SEHEMU zingine nafikiri alijifutia na joto la Daslam, Ile kunicheki sebuleni alishituka sana akaenda moja kwa moja washroom.

Hapo nikajua kuna kitu hakiko sawa MTU kaliwa. Usiku na Mimi nikaanza kumtext taratibu, Akawa anatoa ngumu basi nikamwambia Leo nimekuona umeingia na kitenge Kwa bro na YEYE alikuwemo na wakati inatoka mbona ulishituka sana dah nilimchokonoa mpaka akafunguka hayo niliyosema hapo hawali.

Sasa Leo nimeletewa beki Mzee nimeishiwa pozi nimeona niweke hapa yule tracko tracko hayupo tena.

Mchizi mwingine NAYE aliletewa beki Mzee.

Wanawake mna matatizo😀😀🙌🙌

USER=8978]Active[/USER] naombarudishe kichwa cha Uzi ni

Hii ni SABABU kwanini l wake zetu WANALETA beikitatu wazee.
 
2E168E23-E04C-40F2-9EF9-6F9B56F0CBFD.jpeg
 
Cha kwanza na cha ukweli wake zetu ndo wanafanya sisi wanaume tutoke nje. Ila kama mwanamke unampa mmeo hadi anasaza hawez toka nje ya ndoa na kwangu mimi ukiniletea beki 3 mzee hiyo nyumba nahama. Beki 3 lazma awe mrembo na mbichi ili hata wakati wa msosi unapata appetite. Au mgen akija anajua kweli hii familia ya kishua. Beki mzee wapi na wapi hadi mda wa kula ukimkumbuka alivo hamu ya chakula inaisha. Leta mrembo ili madam akizingua beki anamsaidia mengne na aliyesema beki 3 hafai kuliwa na bosi n nani. Hao watu ni watamu kwel na wanajikubali hata usipompa hela anajiona malaika kwa kugongwa na boss wake. Mim akiletwa mzee namfanyia visa hadi atoke mwenyewe. WIFE AKIJUA Nilicho kiandika hapa cjui itakuwaje ila potelea MBALI. Kwa maana hiyo kama n wewe mwanamne unatoa hela ya kumlipa kuwa muazi mwambie ukileta sura ngumu hapa umlipe wewe yaan ulete mtu ambaye atleast hatakuwa anafanya watoto kulala bila kula sababu ya uoga. DONT TRY THAT AT HOME, IF YOU DO, DO IT AT YOUR OWN RISK.
 
Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema.

Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa.

Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro mmoja, walikuwa na maisha yao. Yeye ana biashara zake, mke pia NAYE kaajiriwa. Mara nyingi bro anatoka mapema au anarudi muda wowote.

Sasa ikatokea wakaleta beki mmoja binti mrembo, mpole, hana mambo mengi Kwa kumtazama YAANI ni kama ana nidhamu sana ila NDO hivyo.

Mimi sikuwa najua chochote mwanzoni wakati huo nasoma twisheni ya advance kule mchikichini, Ila huyu beki mwenyewe ndio alikuja kunidokeza kwa siri. Akanieleza jinsi mambo yalivyoanza anasema MKE WA bro alikuwa hampi bro mara NYINGI Yuko bize na akiwa off anachoka sana ni kulala TU hataki guswa, wakati mwingine wiki nzima au hata mbili hakuna ukaribu wowote..

Ndipo bro akaanza kumzoea beki polepole. Mwanzoni ni mazoea tu, baadaye akageuka MKE mdogo. Hata hela akaanza kumpa pembeni mshahara wake wa kawaida unapitia kwa wife, lakini yeye akawa anaongeza nyingine kwa siri.

Siku moja nilishuhudia tukio ambalo lilinifanya nianze kuelewa kila kitu. Nilikuwa nimerudi mapema, nikaingia chumbani kwangu. Chumba changu kilikuwa kinaangaliana na cha bro. Ghafla nikamuona bro anaingia room kwake, wakati huo beki alikuwa anamalizoa kufua.

Baada ya muda mfupi, beki akaingia humo humo chumbani lahaula nikashangaa SABABU HATA bro hakujua kama nimesharudi maana Huwa ananipigia simu kama nishatudi ila siku hiyo hakufanya Sasa ile room yangu ilikuwa inatazamana na yake Kwa angle flani kana kwamba nikilegeza mlango naona anaeingia humo.

Basi BAADA ya beki kuingia mo, hali likuwa tulivu sana, lakini ile hali tu ilinipa mashaka. Nikatoka kimya nikakaa sebuleni kama sijui chochote ili NISIKIE chochote SIKUFANIKIWA , walitumia muda mrefu kidogo.

Alipotoka beki, alikuwa na haraka sana, kijasho kinamtoka ni kama amesweti sana kanganga imetepeta SEHEMU zingine nafikiri alijifutia na joto la Daslam, Ile kunicheki sebuleni alishituka sana akaenda moja kwa moja washroom.

Hapo nikajua kuna kitu hakiko sawa MTU kaliwa. Usiku na Mimi nikaanza kumtext taratibu, Akawa anatoa ngumu basi nikamwambia Leo nimekuona umeingia na kitenge Kwa bro na YEYE alikuwemo na wakati inatoka mbona ulishituka sana dah nilimchokonoa mpaka akafunguka hayo niliyosema hapo hawali.

Sasa Leo nimeletewa beki Mzee nimeishiwa pozi nimeona niweke hapa yule tracko tracko hayupo tena.

Mchizi mwingine NAYE aliletewa beki Mzee.

Wanawake mna matatizo😀😀🙌🙌

USER=8978]Active[/USER] naombarudishe kichwa cha Uzi ni

Hii ni SABABU kwanini l wake zetu WANALETA beikitatu wazee.
Chai
 
Mnawaingilia watoto wa watu huko majumbani kwenu halafu mnakuja hapa kujisifia. Hiyo ni sexual abuse, hapa Jamii Forums tunapiga vita. Kwa hizo comments zenu zinaonyesha jinsi gani mabinti wengi wanavyonyanyswa kingono na watanzania wanachukulia kawaida tu. Mbwa nyinyi, wote mnastahili kwenda jela.
 
Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema.

Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa.

Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro mmoja, walikuwa na maisha yao. Yeye ana biashara zake, mke pia NAYE kaajiriwa. Mara nyingi bro anatoka mapema au anarudi muda wowote.

Sasa ikatokea wakaleta beki mmoja binti mrembo, mpole, hana mambo mengi Kwa kumtazama YAANI ni kama ana nidhamu sana ila NDO hivyo.

Mimi sikuwa najua chochote mwanzoni wakati huo nasoma twisheni ya advance kule mchikichini, Ila huyu beki mwenyewe ndio alikuja kunidokeza kwa siri. Akanieleza jinsi mambo yalivyoanza anasema MKE WA bro alikuwa hampi bro mara NYINGI Yuko bize na akiwa off anachoka sana ni kulala TU hataki guswa, wakati mwingine wiki nzima au hata mbili hakuna ukaribu wowote..

Ndipo bro akaanza kumzoea beki polepole. Mwanzoni ni mazoea tu, baadaye akageuka MKE mdogo. Hata hela akaanza kumpa pembeni mshahara wake wa kawaida unapitia kwa wife, lakini yeye akawa anaongeza nyingine kwa siri.

Siku moja nilishuhudia tukio ambalo lilinifanya nianze kuelewa kila kitu. Nilikuwa nimerudi mapema, nikaingia chumbani kwangu. Chumba changu kilikuwa kinaangaliana na cha bro. Ghafla nikamuona bro anaingia room kwake, wakati huo beki alikuwa anamalizoa kufua.

Baada ya muda mfupi, beki akaingia humo humo chumbani lahaula nikashangaa SABABU HATA bro hakujua kama nimesharudi maana Huwa ananipigia simu kama nishatudi ila siku hiyo hakufanya Sasa ile room yangu ilikuwa inatazamana na yake Kwa angle flani kana kwamba nikilegeza mlango naona anaeingia humo.

Basi BAADA ya beki kuingia mo, hali likuwa tulivu sana, lakini ile hali tu ilinipa mashaka. Nikatoka kimya nikakaa sebuleni kama sijui chochote ili NISIKIE chochote SIKUFANIKIWA , walitumia muda mrefu kidogo.

Alipotoka beki, alikuwa na haraka sana, kijasho kinamtoka ni kama amesweti sana kanganga imetepeta SEHEMU zingine nafikiri alijifutia na joto la Daslam, Ile kunicheki sebuleni alishituka sana akaenda moja kwa moja washroom.

Hapo nikajua kuna kitu hakiko sawa MTU kaliwa. Usiku na Mimi nikaanza kumtext taratibu, Akawa anatoa ngumu basi nikamwambia Leo nimekuona umeingia na kitenge Kwa bro na YEYE alikuwemo na wakati inatoka mbona ulishituka sana dah nilimchokonoa mpaka akafunguka hayo niliyosema hapo hawali.

Sasa Leo nimeletewa beki Mzee nimeishiwa pozi nimeona niweke hapa yule tracko tracko hayupo tena.

Mchizi mwingine NAYE aliletewa beki Mzee.

Wanawake mna matatizo😀😀🙌🙌

USER=8978]Active[/USER] naombarudishe kichwa cha Uzi ni

Hii ni SABABU kwanini l wake zetu WANALETA beikitatu wazee.

Uandishi wako, na akili yako ni kama beki tatu pia. Wewe utaolewa lini? Maana sasa unakaa sana kwa bro wako kuna siku akikosa kwa mkewe atakuja na kwako. Fanya jitihada ukaoelewe siyo kutaka nawe ukasagane na beki tatu. Olewa uwe huru.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂
Embu sukuma namba yake PM niwe nakusaidia kumkumbusha afanye kazi kwa bidii.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂

Huu ni upumbavu kuweka picha ya mtu na mtoto pia katika mitandao. Si sawa. Huyo mtoto unamwingilia privacy yake pamoja na huyo dada wa watu. Kuna sehemu extro huwa unaandika vitu vya sense kiasi flani leo hiki ulichofanya ni kama kuna mtu hana akili ameshika simu yako.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂
Duuh! Mkuu hivyo we ndo una jukumu la kuleta dada home kwako?
 
Back
Top Bottom