G
guest-1793599959
Guest
Hii picha ifute mkuu kama kweli ni ya familia yako,Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.š