- Thread starter
- #41
Nani alitumiwa kingono?Hata kama akili zako zinakutuma miaka 20 ni watu wazima, ndio unapewa ruhusa kuwatumia kingono?
Nani alitumiwa kingono?Hata kama akili zako zinakutuma miaka 20 ni watu wazima, ndio unapewa ruhusa kuwatumia kingono?
Mjitqhidinkuwahudumia waume zenu sio kuacha majukumu Kwa beki hadinunyumba unamnyima hili hamdiscuss mnamuattack zaidi mwanaume hamuoninshida ya MKE?Na wengi wao ndio wanafanyia shida tu, lakini wanaume wanawageuza madanguro yao! Anajiona kapata wake wawili tayari🙌🏾
Unapenda màandiko vipi ILI la mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe na je hujaona chanzo Cha tatizo umewahi KWENYE tamaa
Kwanini ulale chumbani usimhudumie mwenzio zaidi ya wiki mbili na si mgonjwaMtu huyo ni hatari hata kupita na watoto wenu ni jambo jepesi kwake! Maana atamla muda umelala chumbani kwako😱
Nani alitumiwa kingono?
Sikia nikwambie ogaboy, mwanaume kuhudumiwa sio sababu ya kutocheat au kulala hovyo na wanawake wengine, wanume mna tamaa kama mtashindwa kudhibiti tamaa zenu wenyewe kw akigezo cha kutembea na mabinti wenu wa kazi kw akisingizo hujahudumiwa vizuri hilo ni tatizo lako! Chunguza vizuri utaona nintamaa tu ya mwanaume mwenyewe wala sio issue ya kunyimwa kitu! Ukimuoneaha upendo mkeo vzr hatokaa akakunyima mambo madogo hayo!Mjitqhidinkuwahudumia waume zenu sio kuacha majukumu Kwa beki hadinunyumba unamnyima hili hamdiscuss mnamuattack zaidi mwanaume hamuoninshida ya MKE?
Leo umekuwa mkali sana, kuna issue mkeo kazingua huko😂Kwanini ulale chumbani usimhudumie mwenzio zaidi ya wiki mbili na si mgonjwa
Wewe NDO uelewi na mtoa mjadala ni Mimi, WENGI mnamuataki mwanaume ila hamtaki chambua MADA , YEYE ninmalaika ? Unaolewa unaleta beki tatu alafu NDO anakuwa kama mama MWENYE nyumba YAANI huangaiki HATA kujishughulisha na mmeo kwani beki tatu no ndugu yake.Bro kwani uelewi kwenye huu mjadala tunaongelea nini?
Wewe unatania ulishawahi nyimwa unyumba miezi mitatu BILA SABABU?. HIZo mbegu zikijaa akamwage wapi, Aya angeenda kimwaga nje bado ungesema tamaa, tamaa ya mwanamume kutoka nje in natengenezea na muda na mwanamke wake mwenyewe.Sikia nikwambie ogaboy, mwanaume kuhudumiwa sio sababu ya kutocheat au kulala hovyo na wanawake wengine, wanume mna tamaa kama mtashindwa kudhibiti tamaa zenu wenyewe kw akigezo cha kutembea na mabinti wenu wa kazi kw akisingizo hujahudumiwa vizuri hilo ni tatizo lako! Chunguza vizuri utaona nintamaa tu ya mwanaume mwenyewe wala sio issue ya kunyimwa kitu! Ukimuoneaha upendo mkeo vzr hatokaa akakunyima mambo madogo hayo!
Kwahiyo mna kasirika mabeki tatu wakifanya kazi za nyumbani? Mi nafkiri mwanaume ungedeal na mambo ya mkeo huko chumbani mambo ya kupika na kudeki sio shida zako! Kama vipi mfukuzeni huyo beki 3 goal likae wazi!Wewe NDO uelewi na mtoa mjadala ni Mimi, WENGI mnamuataki mwanaume ila hamtaki chambua MADA , YEYE ninmalaika ? Unaolewa unaleta beki tatu alafu NDO anakuwa kama mama MWENYE nyumba YAANI huangaiki HATA kujishughulisha na mmeo kwani beki tatu no ndugu yake.
Wanawake wengi wakishaleta beki wanarelax na kisahahu wajibu wao. Hakuna anaenyanyaswa kingono kwani si angeripoti .
Kwahiyo mna kasirika mabeki tatu wakifanya kazi za nyumbani? Mi nafkiri mwanaume ungedeal na mambo ya mkeo huko chumbani mambo ya kupika na kudeki sio shida zako! Kama vipi mfukuzeni huyo beki 3 goal likae wazi!Wewe NDO uelewi na mtoa mjadala ni Mimi, WENGI mnamuataki mwanaume ila hamtaki chambua MADA , YEYE ninmalaika ? Unaolewa unaleta beki tatu alafu NDO anakuwa kama mama MWENYE nyumba YAANI huangaiki HATA kujishughulisha na mmeo kwani beki tatu no ndugu yake.
Wanawake wengi wakishaleta beki wanarelax na kisahahu wajibu wao. Hakuna anaenyanyaswa kingono kwani si angeripoti .
Hapana ni vile navyoangaika kumwelewesha MTU anaefocus nje ya MADA au upande MMOJA TU.Leo umekuwa mkali sana, kuna issue mkeo kazingua huko😂
Huyo Mwanamke mpumbavu kuvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe inategemea na kosa lake atakalofanya kupelekea ndoa yake kuvunjika...Unapenda màandiko vipi ILI la mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe na je hujaona chanzo Cha tatizo umewahi KWENYE tamaa
Unaona Sasa HATA wewe imetoka nje ya MADA, Uzi umeonyesha jinsi mwanamke alivyo behave hiyo ilikuwa SABABU tosha HATA asingelala na beki , angetoka nje bado unhemlaumu? Wanawake wanakuwaga wavivu sana kitandani hasa wale wafanyakazi Sasa huyu HATA weekend Yuko bize, nini maana ya ndoa ? Ndoa BILA tendo la Ndoa haipo.Kwahiyo mna kasirika mabeki tatu wakifanya kazi za nyumbani? Mi nafkiri mwanaume ungedeal na mambo ya mkeo huko chumbani mambo ya kupika na kudeki sio shida zako! Kama vipi mfukuzeni huyo beki 3 goal likae wazi!
Hakuna Cha jirani na wewe ni wale wale UWEZO chepuka nje kivyovyote ukasema unalinda NDOAKuna muda sisi wanaume tunawadhalilisha wake zetu bila sababu ya msingi na kuwapa maumivu makali sana ambayo hata sisi tusingependa kufanyiwa, kwanini utembee na dada wa kazi, mkeo akijua anaona ni dharau kubwa sana umemfanyia..mm sio tu dada wa kazi ila hata madem wa mtaani siwezi kutembea nao ili kumlindia mke wangu heshima, michepuko iko mikoa ya jirani huko ambako hakuna 1mtu anaweza kujua.
Duhh basi hapo umeeleweka! Nikajua nyinyi ilimradi tu mjilie zenu mabeki3, pole sana tafuta solution ya shida ya mkeo kabla hujatafuta mchepuko nje au kula watoto wa watu!Wewe unatania ulishawahi nyimwa unyumba miezi mitatu BILA SABABU?. HIZo mbegu zikijaa akamwage wapi, Aya angeenda kimwaga nje bado ungesema tamaa, tamaa ya mwanamume kutoka nje in natengenezea na muda na mwanamke wake mwenyewe.
KUWA safi , nikiwa vutia , FANYA wajibu wako ukiona mwanaume ametoka utakuwa na SABABU ya kumlaumu hiyo juu ya tamaa ni fallacy of generalization
Vipi hapa KWENYE kutowajibika Kwa mwanamke nini maana ya ndoa ? Ndoa BILA tendo la Ndoa ? Soma Uzi temaHuyo Mwanamke mpumbavu kuvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe inategemea na kosa lake atakalofanya kupelekea ndoa yake kuvunjika...
Lakini hilo la kutembea na mabinti wa kazi haifai Mkuu, mapenzi yanaambatana na wivu
Unaweza kumuweka binti wa kazi, then akanogewa na shoo
Hajaamua kumuwekea sumu mkeo ili abaki yeye ukimdinya?
Ni mara mia kama unatamaa uende kilomita 1000 ukadinye huko, lakini sio kumdinya Dada wa kazi mnayekaa naye nyumba moja
Mimi nimekujibu kulingana na ulivyoniquote mkuuUnaona Sasa HATA wewe imetoka nje ya MADA, Uzi umeonyesha jinsi mwanamke alivyo behave hiyo ilikuwa SABABU tosha HATA asingelala na beki , angetoka nje bado unhemlaumu? Wanawake wanakuwaga wavivu sana kitandani hasa wale wafanyakazi Sasa huyu HATA weekend Yuko bize, nini maana ya ndoa ? Ndoa BILA tendo la Ndoa haipo.
Leo kakuudhi kweli😂HUWEZI mnyima mume zaidi ya wiki mbili with no reason ya maana .
Mbake tu mkuu🤦🏽♀️Tumefunzwa MKE akiwa mgonjwa, akiwa period haguswi ila huyu je?