Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Wanawake wengi wakishaleta beki wanarelax na kisahahu wajibu wao. Hakuna anaenyanyaswa kingono kwani si angeripoti .

Wewe unachanganya mambo ndugu yangu, matatizo ya wewe na mkeo sio sababu ya kuwatumia kingono mabinti wa watu.
Halafu unasema kama wananyanyaswa si wangeripoti, are you serious? Wanawake wangapi wanabakwa wanashindwa kutoa taarifa? Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
 
Vipi hapa KWENYE kutowajibika Kwa mwanamke nini maana ya ndoa ? Ndoa BILA tendo la Ndoa ? Soma Uzi tema
Mwanamke aliyelelewa vizuri haitaji kukumbushwa kuhusu kumpa unyumba mme wake...
Jambo la muhimu hakikisha unatimiza wajibu wako kwake...

Wanawake hawapendi kuachwa njiani, hakikisha unamfikisha kabla hujafika wewe..

Mwenzio pamoja na kuzeeka huku, bado Bibi yenu ananipa kila siku labda itokee Simba anacheza siku hiyo
 
We mzee kila siku😱

So kweli..🤣
 
Duhh basi hapo umeeleweka! Nikajua nyinyi ilimradi tu mjilie zenu mabeki3, pole sana tafuta solution ya shida ya mkeo kabla hujatafuta mchepuko nje au kula watoto wa watu!

Huenda ana tatizo la hormones mpeleke hospitali dawa zipo, kama anatumia birth control huwa zinaleta hiyo shida! na kama ulimpiga na kitu kizito lazima apoteze hisia na wewe! Haiwezi kuwa bahati mbaya hiyo kaeni chini muyazungumze! Kuingia kwenye ndoa maana yake kukubali kutatua changamoto za kila leo! Sio kila siku ni sherehe mkuu!
Sio ukajua tatizo WENGI mnasoma title na kukimbilia reply.

Hii inachosha asimia 80 ya walio reply WAKO nje ya MADA , na 5 percent kati yao wantetea kutoka nje ya ndoa kama jambo sahihi ukiwa mbali na mchepuko KULIKO dada WA kazi ambapo mara NYINGI wake zetu ndio SABABU , Mimi nimewahi ishi Kwa ndugu kadhaa wenye wake na beki tatu ukikuta ndugu anaheshimu MKE utaona HATA tabia ya MKE imetulia na Wana beki tatu, ajabu ni pale MKE anajisahahu kwamba maumbile ya mwanaume ni tofauti mwanamke ANAWEZA Kaa HATA miezi BILA kupata hashiki MPAKA aanze guswa guswa LAKINI mwanamume akilala na kuamka ZILE pmb zikipata joto zinatekenya na zinataka kutoa mavumba, Sasa anayatolea wapi na hii ni Kwa Kila mwanaume mzima NDO unasikia WATU wananyetuka LAKINI kitendo hicho ni kibaya sana Kwa MTU MWENYE MKE MKE anawezaje toa excuse za kuchoka ilihali beki NDO anafanya kazi ZOTE home, hauna homa unaseema umetoka job umechoka job YENYEWE kukaa KWENYE bank teller, muuza duka, secretary n.k, unashindwa kutanua miguu Kwa mmeo? YEYE akamwage wapi.

WAtu WENGINE Kwa asilimia Tano wanasema Bora watoke Kwa michepuko mbali kumtunzia heshima MKE heshima inaanzia ndani ya moyo wewe ukitoka nje ya ndoa kivyovyote humweshimu mwenzio hakuna faraja.

Wanawake wawajibike ni ngumu kufanya pedophile Kwa beki tatu Kwa mwanaume hiyo hi ngumu labda hulka za mwanaume.

Hakuna unyanyasaji Kwa binti MWENYE MIAKA 18 and above, Wana UWEZO WA kukataa au HATA kutoroka mbona Mimi wanakuja sana hapa na wanakaa siku mbili mnaamka beki kakimbia mkianza kufatilia mnamkuta Kwa boyfriend je Hawa WATU hawana AKILI timamu?
 
Huwa vinakuja kwa kuzuga kama vishamba( yes kwa mjini wanakuwa na kaushamba fulani ila kijijini kalishakubuhu na kalikuwa kamcharuko cha kijiji)

Mwanzoni kana vaa viwalo chakavu vya kujifanya kaaminiwe. Kumbe kwenye shangazi kaja lake kameficha zile za nusu uchi za kijijikijiji

Kanaonekana kama katoto mwanzoni, ila kajuzi cha mambo kalishakuzwa,kanaanza kuoga na kupaka lotion, kanaanza kuachia saa sita na miguu ya kuku

Vijana wa kiume wa ndani wanaanza kujaribu, ndipo wanapojifunzia, akienda dukani mangi naye yumo, vijana wa mtaani wamo, kanaanza kunenepa, baba ya familia naye anaanza kutizama kwa jichio pande

Wengine unakuta walishaungua huko walikotoka walikuwa tuu wanazuga anaunganisha umeme nyumba nzima , halafu kanasepa kanaenda sehemu nyingine

Chukua tahadhari
Bonge la point, wanawake muwajibike sio excuse ya wewe kunyimq unyumba na kuonyesha mapenzi Kwa mumeo beki sio ndugu yako.
 
Mimi nimekujibu kulingana na ulivyoniquote mkuu

Leo kakuudhi kweli😂

Mbake tu mkuu🤦🏽‍♀️
Naanzaje Sasa unanishawishi baadae uje uniite mnyanyasaji hapa jf.

Nataka uwe tayari muda unaofa na usiofaa kwani mwanamke Huwa anachoka nini ? KWENYE mzagamuo maana HATA miguu tumainua sisis wenyewe na kisukuma alafu anakuangalia tukama mdoli
 
Wewe unachanganya mambo ndugu yangu, matatizo ya wewe na mkeo sio sababu ya kuwatumia kingono mabinti wa watu.
Halafu unasema kama wananyanyaswa si wangeripoti, are you serious? Wanawake wangapi wanabakwa wanashindwa kutoa taarifa? Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
Umepata pa kunipigia endelea kunichapa
 
Sio ukajua tatizo WENGI mnasoma title na kukimbilia reply.
Title iko wazi na inajadiliwa kama ilivyokuja, huenda wewe tayari una majibu yako ndio shida inapoanzia..
WAtu WENGINE Kwa asilimia Tano wanasema Bora watoke Kwa michepuko mbali kumtunzia heshima MKE heshima inaanzia ndani ya moyo wewe ukitoka nje ya ndoa kivyovyote humweshimu mwenzio hakuna faraja.
Sahihi kabisa!
Wanawake wawajibike ni ngumu kufanya pedophile Kwa beki tatu Kwa mwanaume hiyo hi ngumu labda hulka za mwanaume.
Ndio ndio
Hakuna unyanyasaji Kwa binti MWENYE MIAKA 18 and above, Wana UWEZO WA kukataa au HATA kutoroka mbona Mimi wanakuja sana hapa na wanakaa siku mbili mnaamka beki kakimbia mkianza kufatilia mnamkuta Kwa boyfriend je Hawa WATU hawana AKILI timamu?
Tatizo ushawishi, ila kwa hali ya kawaida ni ngumu huyo binti kuanza kumpenda boss wake, wengi wanavutiwa na zile tamaa tu, na mwisho ataanza kutamani kumpindua ma mjengo kwa sababu umri wake unakuwa anatamani tu kuishi hayo maisha japo anakuwa hajayajua maisha vzr! Na anakuwa ana yale mapenzi ya dhati hivyo hajui kufanya kama kamchezo, mwishowe ataivuruga ndoa mpaka utatamani mngekaa tu kuyamaliza na mkeo!
Tofauti ha hapo achana naye tafuta mke mwingine!!
 
Naanzaje Sasa unanishawishi baadae uje uniite mnyanyasaji hapa jf.

Nataka uwe tayari muda unaofa na usiofaa kwani mwanamke Huwa anachoka nini ? KWENYE mzagamuo maana HATA miguu tumainua sisis wenyewe na kisukuma alafu anakuangalia tukama mdoli
Mambo sio kama hivyo unavyoyaona!
 
Title iko wazi na inajadiliwa kama ilivyokuja, huenda wewe tayari una majibu yako ndio shida inapoanzia..

Sahihi kabisa!

Ndio ndio

Tatizo ushawishi, ila kwa hali ya kawaida ni ngumu huyo binti kuanza kumpenda boss wake, wengi wanavutiwa na zile tamaa tu, na mwisho ataanza kutamani kumpindua ma mjengo kwa sababu umri wake unakuwa anatamani tu kuishi hayo maisha japo anakuwa hajayajua maisha vzr! Na anakuwa ana yale mapenzi ya dhati hivyo hajui kufanya kama kamchezo, mwishowe ataivuruga ndoa mpaka utatamani mngekaa tu kuyamaliza na mkeo!
Tofauti ha hapo achana naye tafuta mke mwingine!!
Title ilieditiwa na modi na ndio wameharibu Uzi.

Hapa mwisho umeenda vyema LAKINI nashangaa iweje mwanaume TU awe attacked sasabu inafahamikanmshawishi ni mwanaume LAKINI si oakaubali mbona mwanaume akibaka binti WA kazi infahamika?

So beki WENGI wanajua wake za maboss ni wazembe wao uchangamkia fursa.

So utamuattack vipi MTU aliekuweka ndani kwale ngo la ndoa alafu hufanyi wajibu wako MANAKE umeleta MTU WA kujisaidia wajibu wako. Kwahiyo wanawake WANAOTAKA wajakazinwajifunze limit mwanaume sio mwanamke tuzalisha mbegu mamimilioni Kila saa na ndio zinazotekenya na kuleta nyege Sasa wewe unamkqtia umeme mmeo bila SABABU.

Narudia beki WENGI wanajitambua mfano huyo WA KWENYE Uzi ni kama TU wqnazidia MIAKA 51 na MKE WA jamaa
 
Bonge la point, wanawake muwajibike sio excuse ya wewe kunyimq unyumba na kuonyesha mapenzi Kwa mumeo beki sio ndugu yako.
Kulala na msaidizi wa ndani ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume, unajishusha na kuidhalilisha familia.

Bora ukakitembeze mbali huko.
 
Title ilieditiwa na modi na ndio wameharibu Uzi.

Hapa mwisho umeenda vyema LAKINI nashangaa iweje mwanaume TU awe attacked sasabu inafahamikanmshawishi ni mwanaume LAKINI si oakaubali mbona mwanaume akibaka binti WA kazi infahamika?

So beki WENGI wanajua wake za maboss ni wazembe wao uchangamkia fursa.

So utamuattack vipi MTU aliekuweka ndani kwale ngo la ndoa alafu hufanyi wajibu wako MANAKE umeleta MTU WA kujisaidia wajibu wako. Kwahiyo wanawake WANAOTAKA wajakazinwajifunze limit mwanaume sio mwanamke tuzalisha mbegu mamimilioni Kila saa na ndio zinazotekenya na kuleta nyege Sasa wewe unamkqtia umeme mmeo bila SABABU.

Narudia beki WENGI wanajitambua mfano huyo WA KWENYE Uzi ni kama TU wqnazidia MIAKA 51 na MKE WA jamaa
Nakushauri mtoe mkeo umpe huyo beki 3 hiyo nafasi ya mke halafu ulete mrejesho hapa! Ndio utajua wanajitambua au la!
 
Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
Inasikitisha sana aisee na kwa hali ilivyo wa kuwatetea hata hamna na pia ni ngumu sababu sidhani kama wenyewe wanakuwa na akili ya kujua kwa hili nikosa napaswa kwenda kulisema sehemu fulani.

Japo mie huwa nasema kama Msaidizi akiwa kitu kimoja na Mama mwenye nyumba na wakawa wanaishi vizuri kabisa na kuwa kitu kimoja hii itasaidia kwani hata huyo baba mwenye nyumba akileta vitamaa vyake basi mke atapata taarifa.

Na pia Me akishajua Mama mwenye nyumba na msaidizi wanaelewana basi hawezi leta hayo mambo.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂
Kwa nnavyomjua mke wangu atamfukuza kabla hata sijarudi off 😂😂😂
 
mie huwa nasema kama Msaidizi akiwa kitu kimoja na Mama mwenye nyumba na wakawa wanaishi vizuri kabisa na kuwa kitu kimoja hii itasaidia
Haisaidii mnawaonea sana hawa wadada unakuta manywele yamesasambuka kama wacheza mang'oma, na hapo ndo sisi watetezi tunawapa hela wakasuke kwa huruma na wao wanatupa kama ahsante 🤠🤠🤠, so it's a win win situation
 
Kama Mwanaume hauta jiheshimu, unaweza kuitumbukiza ndoa yako kwenye migogoro kisa Dada wa kazi

Ndoa ya Mtume Ibrahimu na mkewe Sara iliingia kwenye migogoro baada ya Ibrahimu kuzaa na Dada wa kazi (Wa kuitwa Hajiri) mtoto wao wa kwanza Ishmaeli (Kitabu cha Mwanzo 16)

Tujitahidi kuzishinda tamaa zetu kwa kuwaheshimu mabinti wa kazi, tuwatunze na kuwalea kama watoto zetu wa kuwazaa
Kama baba wa mataifa kala beki tatu sisi uzao wake tufanyeje sasa

Mwanzo 16
 
Back
Top Bottom