Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Kuna mtu amehack email yangu mkuu ananitesa sana yani🤬
Huu ni upumbavu kuweka picha ya mtu na mtoto pia katika mitandao. Si sawa. Huyo mtoto unamwingilia privacy yake pamoja na huyo dada wa watu. Kuna sehemu extro huwa unaandika vitu vya sense kiasi flani leo hiki ulichofanya ni kama kuna mtu hana akili ameshika simu yako.
 
Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
Hilo ndio umeliona tatizo sana, vipi kuhusu wake zenu wanaoinamishwa na kina Baltazar Engonga wakiwa makazini? Is there any difference?
 
Sikia nikwambie ogaboy, mwanaume kuhudumiwa sio sababu ya kutocheat au kulala hovyo na wanawake wengine, wanume mna tamaa kama mtashindwa kudhibiti tamaa zenu wenyewe kw akigezo cha kutembea na mabinti wenu wa kazi kw akisingizo hujahudumiwa vizuri hilo ni tatizo lako! Chunguza vizuri utaona nintamaa tu ya mwanaume mwenyewe wala sio issue ya kunyimwa kitu! Ukimuoneaha upendo mkeo vzr hatokaa akakunyima mambo madogo hayo!
Easier said than done!

Wanaume wengi wanachepuka sababu hawapewi stahiki zao kwa uhuru ila masimango na migao kama maji ya Dawasco ni vile tu wengi wameumbwa na koromeo.

Huduma ikiwa ya mgao kama maji leo yanatoka kisha kimya kutoka tena ni baada ya wiki mbili hapo lazma mtaishia kulaumiana. Hii scenario ipo kwenye ndoa nyingi zaweza fikia hata 70%
 
Easier said than done!

Wanaume wengi wanachepuka sababu hawapewi stahiki zao kwa uhuru ila masimango na migao kama maji ya Dawasco ni vile tu wengi wameumbwa na koromeo.

Huduma ikiwa ya mgao kama maji leo yanatoka kisha kimya kutoka tena ni baada ya wiki mbili hapo lazma mtaishia kulaumiana. Hii scenario ipo kwenye ndoa nyingi zaweza fikia hata 70%
Kwahiyo una uhakika ukipewa mzigo daily hautacheat?
 
Wewe *****, mi nishatoka levo ya Kuwaza kuoa, na Nina watoto na MKE safi, we komaa.
Uandishi wako, na akili yako ni kama beki tatu pia. Wewe utaolewa lini? Maana sasa unakaa sana kwa bro wako kuna siku akikosa kwa mkewe atakuja na kwako. Fanya jitihada ukaoelewe siyo kutaka nawe ukasagane na beki tatu. Olewa uwe huru.
 
Katika harakati za kusaka mke niliwahi kuwa na dada mmoja aliyeamkimbia mumewe..Mwanamke aliyeachika huwa hawasemi mzizi wa tatizo husema matokeo kwa hisia..Akasema alimfuma mumewe akila beki tatu. Nikasema ngoja nione

Kwa nje alikuwa mcheshi, akimtanguliza Mungu kwenye mengi. Ila kwa mwaka mmoja niliokuwa naye, alikuwa mtu mwenye kiburi sana, imagine mwaka mzima nilimla kama mara 3 tu na hapo mpaka umkazie kama unabaka. Siku namuacha nilikwambia nina uhakika hii ndio sababu ya mumeo kumtia beki 3. Alitaka kufikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom