Sasa beki tatu naye si mtu jamani, mnasemaje ananyanyaswa ikiwa anashawishiwa in the same manner kama mtoto yeyote wa kike na anaridhia kutoa mali?
Kama kubakwa si anapiga kelele majirani watakuja kuwafumanieni au anamueleza mkeo kwamba anabakwa. Akiliwa na boda boda wa mtaani mbona hamsemi kabakwa?
Anyway nimewaza tu generally maybe case zinaweza kuwa tofautiBro kama unafikiri kama hivi ukiwa mbele ya watu nyamaza, una safari ndefu sana ya kujifunza kuhusu nini kinachoendelea
Kaka umeipenda sana hii madaπ€£Anyway nimewaza tu generally maybe case zinaweza kuwa tofauti
Alee...bebe Jiii.... abebe Jiii...bebe Jii...bebe jiii x3Kaka umeipenda sana hii madaπ€£
Umewapambania mabeki 3 kikamilifu mkuu u deserve a medal π₯ π€π½πAlee...bebe Jiii.... abebe Jiii...bebe Jii...bebe jiii x3
Hako kanyimbo kamenijia ghafla baada ya kusoma hii comment yako. Namuona Gwajima anayarudi kwa mbaaliii.
Eeh nao ni watu sema tunawachukulia kama daraja la piliUmewapambania mabeki 3 kikamilifu mkuu u deserve a medal π₯ π€π½π
Sawa basi una oppose mada iliyoletwa..Eeh nao ni watu sema tunawachukulia kama daraja la pili
Shukrani Mkuu, hii ndiyo raha ya wake zetu wa mwaka 47 πHongera sana kuwa na bibi ambaye hakumbushwi kutoa unyumba.
πππππππ basi ushauri wako hauendani na muktadhaShukrani Mkuu, hii ndiyo raha ya wake zetu wa mwaka 47 π
Haitaji kutumiwa meseji ya MPESA eti ndiyo alowe
Ukirudi nyumbani anakuuliza Baba yangu utakula ndiyo ule, ama unakula ndiyo ule...
Pamoja na Uzee huu inakuwa ni mwendo wa kupeana tu π