Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?

Au katengwa

Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee

Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM

Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo

Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
 
Wazee aliokua anawazungumzia walikuwa wazee katika shelter ya wazee iliyoanzishwa, ilikuwa imeanzishwa apparently na yule Waziri wa Ulinzi,Stergomena Tax.
Alikuwa anasema hawa wazee ukiwasaidia, don't consider it to be a bother,Hawa wazee wanaweza kukushauri katika mambo mengi.
Nadhani even P. Diddy will agree with that.
 
Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?

Au katengwa

Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee

Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM

Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo

Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Umemuona Mbowe wewe, amenyongea na kukosa nuru. Sijui ni huu mgpgoro unaoendelea ndani ya CHADEMA🤣🤣🤣
 
Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?

Au katengwa

Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee

Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM

Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo

Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Unajuaje kama hana Raha? Unalala nae kitanda kimoja? Acha kuingilia maisha ya watu nyie bata wahed
 
Wewe unaishi naye huyo JK mpaka kujua kuwa siku hizi hana furaha?
Wabongo wengi ni watu wenye uwezo mkubwa wa kupenyeza ajenda zao kwenye jambo lolote. Halafu hawajali sana clarity.

Kikwete anatoa vikauli vya mafumbo mafumbo vinavyoweza kutafsiriwa vyovyote, halafu wabongo wanavitafsiri vyovyote wanavyotaka.

Ni kama vile wote hawa wameagana wasiwe clear kwenye chochote ili kila mmoja afaidike kivyake. Huyo Kikwete akibanwa aseme mimi sijamaanisha hivyo, na hao wanaotafsiri wakibanwa waseme Kikwete hakuwa clear na aliweza kutafsiriwa hivyo.

Professor Jay anakwambia aliyeuza dhahabu bandia kalipwa kwa pesa feki. Bongo Dar es salaam, utalialialiaaa....
 
Back
Top Bottom