Huyu Kikwete kama HANA FURAHA ni vizuri tu, ili tuwe wengi. vyeo alivyo shika na bado hataki kuachia wengine, ni mbinafsi sana.
Ilitosha alipomaliza nafasi yake ya Urais alipaswa apishe wengine.
Kijana wake Waziri, Mkewe Mbunge, Yeye bado mtumishi wa umma, Yeye na Mkewe wamejengewa Nyumba, wana lipwa mishahara yote na bashasha aliyoipata alipokuwa rais, magari mapya kila baada ya miaka miwili, na mafuta anapewa, ulinzi...N.K.
Bado mnasema HANA FURAHA, anataka nini tena? au anataka Urais tena kama Trump?