Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viberenge vimekuwa derailedKwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Huu ni wakati wakutafuta raha ya ccm ilipo.Kama ni keki dawa pilipili,kam kitumbua mchanga,kama ndondo tunatia mende,kama ugali usioiva.Daah! Tumefikia hadi huku kwenye kutafuta raha za watu? Hii nchi ngumu sana
Anasikitishwa na ukatili wa dada yake.Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Dada anaweza kuwa Mndengereko,Mzaramo au Mdigo .Anasikitishwa na ukatili wa dada yake.
Akakae asubiri hiyo zawadi ya peace of mind, yani kwa maana hiyo anataka kila kitu yeye tu, hivyo vyoote havimpi peace of mind basi ana matatizo na asiipate milele.No peace of mind !!
Peace of mind huwa hailetwi na hivyo vyote ulivyovitaja !!
Peace of mind ni kitu unazawadiwa bila kujijua kutokana na matendo yako na roho yako !!
Hapana labda hukumuelewa yuko vizuri tu,lakini anazeekaKwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Waziri Rajabu is the illestKwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Kikwete ndiyo alisemaga kinyago ulichokichonga mwenyewe kitakutishaje? Siku hizi vinyago vinatisha hata waliovichonga. Ni uharamia tuKwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Uzee na maradhi ni mtu na Rafiki yake hawaachani !Hapana labda hukumuelewa yuko vizuri tu,lakini anazeeka
Awe na Raha au asiwe nayo ,atengwe au asitemgwe Haina Msaada kwetu Wala Kwa Taifa.Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?