Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

Kuwa na raha na kukosa raha hayo ni mambo ya kawaida kwa mwanadamu na hata kwa viumbe vinginevyo !
Stress, maradhi, Uzee na hata Karma pia huwezi juwa ! 😅😂😂

Mambo mengi yanasababisha mtu kukosa raha !
N.B Hata pesa nazo zikizidi zinaweza kukukosesha Furaha 😅😂😂
Au nasema uongo ndugu zanguni ? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…