Hana raha kwa sababu akini text simjibu siku hizi.Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Ni IPI hiyo?? Kabudi ni mwasisi?Wazee alimaanisha Lukuvi na Kabudi, na impact yao ikaonekana ngorongoro
Duh π !KANZA.
Ni bora aendelee kukosa raha tu ili atakapo ikwapua furaha yake kutoka huko waliko ificha iwe ni nafuu kwetu Watanganyika na hasa akipata suluhu ya kudumu litakuwa jambo jema zaidi.Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Duh π ! π± !Swadakta!!
Atakuwaje na Raha baada ya kuliweka rehani taifa na vizazi vyake kwa wachina, sababu tu ya upumbavuu wa mwanae
No peace of mind !!Huyu Kikwete kama HANA FURAHA ni vizuri tu, ili tuwe wengi. vyeo alivyo shika na bado hataki kuachia wengine, ni mbinafsi sana.
Ilitosha alipomaliza nafasi yake ya Urais alipaswa apishe wengine.
Kijana wake Waziri, Mkewe Mbunge, Yeye bado mtumishi wa umma, Yeye na Mkewe wamejengewa Nyumba, wana lipwa mishahara yote na bashasha aliyoipata alipokuwa rais, magari mapya kila baada ya miaka miwili, na mafuta anapewa, ulinzi...N.K.
Bado mnasema HANA FURAHA, anataka nini tena? au anataka Urais tena kama Trump?
NadhariaKwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
SAFI KABISAWazee alimaanisha Lukuvi na Kabudi, na impact yao ikaonekana ngorongoro
Wewe ni nyumba ndogo ya JK?? Kama siyo, ulijuaje hayo???Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM
Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo
Mpaka alikuwa anamwakilisha Rais mikutano nje ya nchi kulikoni?
Hata wakati fulani mzee Benja alimuambia JPM kuhusu kuwasikiliza wazee na wakafanya kikao...
JPM ilibidi awe mpole.. hao wanajuana...