Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

Viberenge vimekuwa derailed
 
Daah! Tumefikia hadi huku kwenye kutafuta raha za watu? Hii nchi ngumu sana
Huu ni wakati wakutafuta raha ya ccm ilipo.Kama ni keki dawa pilipili,kam kitumbua mchanga,kama ndondo tunatia mende,kama ugali usioiva.
 
Anasikitishwa na ukatili wa dada yake.
 
No peace of mind !!
Peace of mind huwa hailetwi na hivyo vyote ulivyovitaja !!
Peace of mind ni kitu unazawadiwa bila kujijua kutokana na matendo yako na roho yako !!
Akakae asubiri hiyo zawadi ya peace of mind, yani kwa maana hiyo anataka kila kitu yeye tu, hivyo vyoote havimpi peace of mind basi ana matatizo na asiipate milele.
 
Hapana labda hukumuelewa yuko vizuri tu,lakini anazeeka
 
Waziri Rajabu is the illest
 
Kikwete ndiyo alisemaga kinyago ulichokichonga mwenyewe kitakutishaje? Siku hizi vinyago vinatisha hata waliovichonga. Ni uharamia tu
 
Hapana labda hukumuelewa yuko vizuri tu,lakini anazeeka
Uzee na maradhi ni mtu na Rafiki yake hawaachani !
Ila ukubwa wa urafiki wao unatofautiana kati ya mtu na mtu πŸ˜³πŸ™„ !
Tumuogope Mungu πŸ™ wether we like it or not !
Na tukumbuke kwamba β€œ what goes around comes around β€œ
Just a matter of time πŸ™πŸ™
 
Awe na Raha au asiwe nayo ,atengwe au asitemgwe Haina Msaada kwetu Wala Kwa Taifa.

Analazimisha kuombwa ushauri au? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho ingeleta maana kama ungesema Rais SSH hana furaha hapo sawa ila huyo Mzee hana impacts yeyote.
 
Mzee wa Msoga ni kati ya watu wanaoishi maisha mazuri sana hapa Tanzania.

Yeye Rais mstaafu na mwanajeshi, Mke mbunge, mtoto Waziri.

Ulinzi, matibabu na mengineyo kwa gharama za Watanzania.

Akiwa hana furaha, atakuwa anamkosea Mungu.
 
Ningependa nizungumzie kilichopo Yanga muda huyu na kinachoendelea kwa mtazamo wangu.


Minyukano ya siasa imeingia mpaka kwenye soka letu, ujue GSM na kundi la msg walianza kudhamini yanga 2021 kama political Lobbying Kwa siku za mbeleni, lakini baada game changer kwenye DP World Makonda aliporudi bifu la GSM na Makonda likaibua black and white, Nape na kipara wakaliwa kichwa.

Tanganyika law society likamuibua palamagamba na lukuvi kutoka jalalani for nextdoor.

Minyukano inaonekana watu watapata mileage kupitia Yanga, ndo unaona lazima nguvu ya yanga iishe au ife tuanze upya.

Mkipona kwenye sindano mtakufa kwenye uchawi. Manara ameshachagua upande wa Mather. Na mondi amebaki na team Msg.
Kwa sasa Kila Ntu achague upande wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…