Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Dr Slaa alitanga akiwa wapi?Lissu hajatangaza maandamano nchi nzima wala kutaka kupindua serikali
samehee saba mara sabin Allah atatulipia usitende ubaya kwa ubayaMi nashauri ukijua huyu ni mke au mtoto wa polisi au ni mwana ccm au watu wa mahakama ni kuwawekea sumu kwenye migahawa au bar mpaka waanze kujifungia makwao
Hakuitisha Maandamano!!!Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.
1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?
2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?
3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?
4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Wewe uliyetokana na booster ya tangawizi mchawi wahedi! [emoji23][emoji23][emoji91]
Ushindwe kwa jina la Yesu Bwana na Mwokozi Wetu! 😃
Lisu hajawahi hamasisha Maandamano ya kupindua Serikali.Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.
1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?
2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?
3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?
4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Sawa baba yagaUshindwe kwa jina la Yesu Bwana na Mwokozi Wetu! [emoji2]
haujasoma ukanielewa buda, actually niko upande wa Lissu kama shujaaKamkamatwe wewe naona una nyege nae
Abdul mtoto wa Samia anamiliki DPWORLDNawakumbusha tu, Mbowe ana Hotel Dubai kitambo tu!!
Samia atavurunda vibaya kwa hizi kamata kamata.Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.
1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?
2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?
3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?
4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Sidhani kama hii ndio sababu maana serikali huwa haitishiki na hoja za mahakamani maana mahakama pamoja na mahakimu ni mali yao.Lissu is highly competent in legal affairs. Lazima serikali ijipange kisawasawa.
Ni kwa sababu anamfahamu hata aliyeshirikki kumwondoa JPM halafu pia amefungwa kamera mwili mzima zinazopeleka taarifa nje ya nchi pindi tu mtu mwenye nia ovu akimsogelea kumfanya chochote ndio haogopi chochote kile. ukimnyang'anya simu au laptop mwili wake unaendelea kuwasiliana na satellite inayopeleka taarifa zote za picha na video kwa vitendo wanavyomfanyia.
Muda mchache ujao maovu yote yatakuwa hadharani
Kaa la moto wewe unaweza kulimeza au ni maswali lojolojo? Mtu aliyepitishwa kwa risasi 16 na Mungu akamuokoa hata wao wanajua hawamuzi.. ni mteule wa aliyemumba na hapa hawatacheza naye tena maana wanajua nino kitawatokea...Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.
1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?
2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?
3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?
4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Kuna mawili, aidha analiwa timing au yupo kazini.Peace,