Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

Mi nashauri ukijua huyu ni mke au mtoto wa polisi au ni mwana ccm au watu wa mahakama ni kuwawekea sumu kwenye migahawa au bar mpaka waanze kujifungia makwao
samehee saba mara sabin Allah atatulipia usitende ubaya kwa ubaya
 
Lissu ameshajitengenezea jina huko, kumgusa tena ni sawa na kurudia kujivua nguo, zile nchi alizozunguka kule nje, mpaka kwenye mabunge yao, sehemu nyingine na speech akatoa, huyu ni kuwa nae makini sana, tena sana zaidi kama bado ile ndoto ya kufungua nchi ipo kichwani mwa msaliti.
 
Lisu kukamatwa ni suala la mda tu ukifika atakamatwa
Unajua mjomba Lisu usimkurupukie atakutoa knockout
nadhani wako fild wanajipanga namna ya kwenda nae sawa
Mwabukusi kakamatwa kwa sababu
Haya ya Lisu wanaweza kutafsiri kama ni makelele tu lakini huyu bwana anataka majibu sasa hivi na anaenda kuchukua hatua hana mda wa kupoteza
Kwa hiyo wameamua kumpoooza kwanza
 
Peace,

Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.

Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.

1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?

2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?

3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?

4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Hakuitisha Maandamano!!!
 
Wewe uliyetokana na booster ya tangawizi mchawi wahedi! [emoji23][emoji23][emoji91]
8931e0c19e5bfca74c58e1c29625c46a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peace,

Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.

Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.

1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?

2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?

3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?

4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Lisu hajawahi hamasisha Maandamano ya kupindua Serikali.

Lisu wamshughulikie Kwa kuhamasisha Utengano wa Nchi

Mwisho sio kwamba ni mjanja dawa yake inachemka.
 
Peace,

Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.

Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.

1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?

2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?

3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?

4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Samia atavurunda vibaya kwa hizi kamata kamata.
 
Huyu Slaa ni mtu wa serikali.
Kwa makusudi kabisa kakubali kukaa kolokoloni ili kubalance mzani na kutoa onyo kwa wengine
 
Wanamtafutia sababu Muda siyo mrefu nae ataenda kukaa mahabusu siku 500+ kama mbowe
 
Lissu is highly competent in legal affairs. Lazima serikali ijipange kisawasawa.
Sidhani kama hii ndio sababu maana serikali huwa haitishiki na hoja za mahakamani maana mahakama pamoja na mahakimu ni mali yao.
Labda ungesema wanamuhofia kutokana na umaarufu pamoja na connection alizonazo nje ya nchi ni rahisi dunia yote kupata habari zake wakileta kashikashi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu anamfahamu hata aliyeshirikki kumwondoa JPM halafu pia amefungwa kamera mwili mzima zinazopeleka taarifa nje ya nchi pindi tu mtu mwenye nia ovu akimsogelea kumfanya chochote ndio haogopi chochote kile. ukimnyang'anya simu au laptop mwili wake unaendelea kuwasiliana na satellite inayopeleka taarifa zote za picha na video kwa vitendo wanavyomfanyia.

Muda mchache ujao maovu yote yatakuwa hadharani
 
Peace,

Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.

Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.

1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?

2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?

3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?

4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Kaa la moto wewe unaweza kulimeza au ni maswali lojolojo? Mtu aliyepitishwa kwa risasi 16 na Mungu akamuokoa hata wao wanajua hawamuzi.. ni mteule wa aliyemumba na hapa hawatacheza naye tena maana wanajua nino kitawatokea...
 
Peace,

Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.

Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.

1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?

2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?

3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?

4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?
Kuna mawili, aidha analiwa timing au yupo kazini.
 
Back
Top Bottom