Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni.

Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya kurudishwa kwenye kanisa ilikua shule maarufu sana ikijulikana kama Magamba Boys Secondary school, hapa ndio waliposoma viongozi wengi Sana akiwema Kiongozi wa Sudan, mgunduzi pekee wa kitanzania Mwenye theory inayojulikana duniani kote Kwa jina lake "Mpemba Effect" (unaweza kui-google).

Shule hii Sasa ilipata hadhi ya Chuo, na yenyewe inapigwa Mnada!

Yaani ni kweli KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mmeshindwa kutafuta suluhu? Ni kweli Mkuu wa KKKT ameshindwa kusimamia hili wakalipa?

What a shame?

IMG-20230603-WA0030.jpg
 
View attachment 2644640
Mmh
 
Cyo hao tu ... hata hapa DMP wana daiwa pesa nyingi sana malibikizo ya NSSF na mambo mengine wasipo angalia dayosisi nyingi malizao zitapigwa mnada ....tatizo sahv wapigaji wapo kila kona mpaka makanisani
 
Dah, KKKT buana
 
Hao jamaa nachojua among others, wana madeni na kesi na watumishi wa kile chuo chao Kikuu ambacho ni tia maji tia maji…

Ongezea na Dodoma, walikua wanadaiwa mapesa mengi ya mkopo, washarika wakapewa target walipe kila usharika kiasi kadhaa.

Hivi Kanisa halina wataalamu wa financial analysis/risk/etc why wanakopa mamikopo makubwa ambayo return haieleweki na kutia madeni huku washarika wakibebeshwa msalaba kwa kigezo cha “Changia kazi ya kanisa”?

What a shame! RC kuna mambo wanafanya vzr sana kuliko KKKT!
 
Hao jamaa nachojua among others, wana madeni na kesi na watumishi wa kile chuo chao Kikuu ambacho ni tia maji tia maji…

Ongezea na Dodoma, walikua wanadaiwa mapesa mengi ya mkopo, washarika wakapewa target walipe kila usharika kiasi kadhaa.

Hivi Kanisa halina wataalamu wa financial analysis/risk/etc why wanakopa mamikopo makubwa ambayo return haieleweki na kutia madeni huku washarika wakibebeshwa msalaba kwa kigezo cha “Changia kazi ya kanisa”?
Mzee staki kuingia deep sana sisi wenyewe KKKT mpaka sasa tumebebeshwa mzigo mzito sana wakulipa madeni ya nyuma inshort KKKT kwa sasa hali ni mbaya sana labda askofu mkuu aondoke madarakani
 
Mali za makanisa mengi zinachezewa sana.... ndio chanzo pia cha migogoro mingi
Yes, unachosema ni sahihi kabisa. RC Wana mfumo mzuri sana wa kutunza na kulinda Mali zao, nilijifunza jambo mahali.
 
Mzee staki kuingia deep sana sisi wenyewe KKKT mpaka sasa tumebebeshwa mzigo mzito sana wakulipa madeni ya nyuma inshort KKKT kwa sasa hali ni mbaya sana labda askofu mkuu aondoke madarakani
Wala shida Askofu, shida ni mifumo ya KKKT ni ya hovyo sana. Wanashindwa kutofautisha mambo ya kiutawala na kiroho! Wanashindwa kujua lini na wakati Gani Wasimame kama nani, muda wote wao ni "kiroho" tu!
 
Mzee staki kuingia deep sana sisi wenyewe KKKT mpaka sasa tumebebeshwa mzigo mzito sana wakulipa madeni ya nyuma inshort KKKT kwa sasa hali ni mbaya sana labda askofu mkuu aondoke madarakani

Umenikumbusha KKKT DMP enzi niko kijana mdogo waliwahi ajiri katibu mkuu yule jamaa wa Kisarawe sijui akafanya madudu mengi kisha akaishia zake marekani, ni kama shamba la bibi flani.

Note: Mimi ni msharika kamili wa hili dhehebu.
 
This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni.

Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya kurudishwa kwenye kanisa ilikua shule maarufu sana ikijulikana kama Magamba Boys Secondary school, hapa ndio waliposoma viongozi wengi Sana akiwema Kiongozi wa Sudan, mgunduzi pekee wa kitanzania Mwenye theory inayojulikana duniani kote Kwa jina lake "Mpemba Effect" (unaweza kui-google).

Shule hii Sasa ilipata hadhi ya Chuo, na yenyewe inapigwa Mnada!

Yaani ni kweli KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mmeshindwa kutafuta suluhu? Ni kweli Mkuu wa KKKT ameshindwa kusimamia hili wakalipa?

What a shame?

View attachment 2644640
Kwa hii magamba KKKT walipitisha Sana bakuli makanisani na mimi nilichangia sana tu, nasikia Leo inapigwa mnada tena? Zile pesa zilienda wapi?
 
Back
Top Bottom