Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni.
Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya kurudishwa kwenye kanisa ilikua shule maarufu sana ikijulikana kama Magamba Boys Secondary school, hapa ndio waliposoma viongozi wengi Sana akiwema Kiongozi wa Sudan, mgunduzi pekee wa kitanzania Mwenye theory inayojulikana duniani kote Kwa jina lake "Mpemba Effect" (unaweza kui-google).
Shule hii Sasa ilipata hadhi ya Chuo, na yenyewe inapigwa Mnada!
Yaani ni kweli KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mmeshindwa kutafuta suluhu? Ni kweli Mkuu wa KKKT ameshindwa kusimamia hili wakalipa?
What a shame?