Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hakuna uchaguziNipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.
Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.
Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.
Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?
By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?
Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Na kusikitisha pia. 😂😂😂Inashangaza sana
Uko wapiHuku nilipo watu hawana habari labda siku akiwa anakuja huku
Asubuhi Saa Nne.......HahahaWekeni picha za chama changu Chauma wakiwa kwenye kampeni, ushindi wa urais ni lazima kwa Chauma mwaka huu.
Hata sijui sahivi wale jamaa wako wapNipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.
Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.
Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.
Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?
By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?
Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Ndo wanamtandao wanakitaka. Wao mradi liende watawaleNipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.
Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.
Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.
Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?
By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?
Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Unaifahamu mifumo ya siasa inazotumiwa kwenye hayo mataifa?Kampeni za China na Urusi huwa zina makelele?
Huko Songwe watumishi wa umma wamelazimishwa kuhudhiria mkutano wa waoem(mboga mboga FC)🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe nawe usitusumbue bwana! Kwani wagombea wenyewe huwaoni? Kuna mgombea gani hapo mwenye kutia hamasa jamani?Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.