shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
๐๐๐๐๐๐๐๐ Kaomba samahani .sio kulani inadiNinyi si mmesusia uchaguzi? sisi mgombea wetu anazidi kuchanja mbuga.
View attachment 3464092
๐๐๐๐๐๐๐๐ Kaomba samahani .sio kulani inadiNinyi si mmesusia uchaguzi? sisi mgombea wetu anazidi kuchanja mbuga.
View attachment 3464092
Nani kukwambia CCM inafanya siasa?Na kwenye kudoda huko ndipo CCM inapowapigia. Nyie endeleeni umedoda umedoda, mkija kushtuka CCM ina ushindi wa kishindo wa asilimia 98%!!
Baada ya hapo, mnaanza ngwe nyengine, wameiba kura wameiba kura! Mkija kushtuka tena 2030 Uchaguzi Mkuu mwingine! Hamjajiandaa mnagoma tena, CCM inaleta!
Acha kuchezea mabingwa wa siasa za Afrika!!!
Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.
Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.
Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.
Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?
By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?
Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Sawa.Nani kukwambia CCM inafanya siasa?
CCM sio chama cha siasa bali CCM =Serikali=TISS=POLISI=JWTZ. Hakuna siasa zinazofanywa na CCM, ni maigizo tu.
Kwa hiyo Tanzania ni Urusi au China?Kampeni za China na Urusi huwa zina makelele?
Ccm kwa sasa inaishi kipropaganda tuuNa kwenye kudoda huko ndipo CCM inapowapigia. Nyie endeleeni umedoda umedoda, mkija kushtuka CCM ina ushindi wa kishindo wa asilimia 98%!!
Baada ya hapo, mnaanza ngwe nyengine, wameiba kura wameiba kura! Mkija kushtuka tena 2030 Uchaguzi Mkuu mwingine! Hamjajiandaa mnagoma tena, CCM inaleta!
Acha kuchezea mabingwa wa siasa za Afrika!!!
Politically kweli huyu sio pisi kali..tatizo ni mgombea wa Ccm.
..kwanza, si mjenga hoja mzuri.
..pili havutii, yaani sio pisi kali.
Watumishi wa umma na wanafunzi wanalazimishwa kwenda kwenye kampeni za ccm, viongozi wanaandika majina waliohudhuria