Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

Kampeni na uchaguzi ulikuwa mwaka 2015 bwana....haitakuja tokea tena.
1. ELIMU
2.ELIMU
3.ELIMU.....
R.I.P ENL 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.

Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.

Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.

Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.

Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.

Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?

By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?

Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Na kwenye kudoda huko ndipo CCM inapowapigia. Nyie endeleeni umedoda umedoda, mkija kushtuka CCM ina ushindi wa kishindo wa asilimia 98%!!
Baada ya hapo, mnaanza ngwe nyengine, wameiba kura wameiba kura! Mkija kushtuka tena 2030 Uchaguzi Mkuu mwingine! Hamjajiandaa mnagoma tena, CCM inaleta!

Acha kuchezea mabingwa wa siasa za Afrika!!!
 
Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.

Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.

Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will.

Wagombea wa udiwani na ubunge wa CCM, wanafanya kampeini bila mzuka, wengine ata kuzindua kampeini hawajazindua.

Ukipitia social media ndo kabisa, uchaguzi hau-trend kabisa, kinacho trend ni Lissu na Polepole.

Nauliza kipo kimelipata hili Taifa? Yaani huu ndo uchaguzi mkuu wa nchi? Kuna aja gani ya international observers kuchoma dollar na kuja kuangalia hii takataka?

By the way vipi uko kwenu uchaguzi una amsha amsha yeyote?

Mto wa mbu,
Mto wa mbu-Monduli
Mkuu yaani hata Gulio la Selela limechaangamka......huku ni Takataka tu
 
Nimepita town nakutana na chauma wameweka spikq zao stendi watu waliopo wako.9.Salum Mwalimu kwamara ya kwanza nimemuonea huruma..
I mean watu 9 nahis na mgombea mwenzake Devotha alikuwepo .kumepoa mno
 
Africa tunahitaji wakoloni waje tena na waendelee kutuchapa viboko na kazi ngumu!

Tunairudisha dunia nyuma, ulimwengu mzima wa wanaojitambua wanawekeza massively kwenye Technology (AI kwa sasa).

Huko ndio kwenye pesa nyingi, sisi tuko busy kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 sababu hata huu wa sasa ushaisha ingawaje bado (Kujitekenya na kukenua).

Ilikuwa Kenya ndo wanatuzidi GDP..Sasa Uganda watatuzidi na soon usishangae Rwanda!

Kafulila amekosa haya, anadanganya watu wazima kama yeye ndio anajua kila kitu,ilhali ni uongo wa wazi na anajua hakuna msomi ataye m crush,jaribu upotee!

Wewe ni CCM au CHADEMA, jua muelekeo wetu unahitaji overhaul ya kweli, siasa ikae pembeni otherwise kwa hizi siasa uchwara,wote tunaenda kuonekana kituko..(Mind u Tanzania ni kubwa kuliko EAC yote combined)..

Siasa ya ovyo inaenda kuzamisha ili Taifa, politics kwenye kila kitu,hata kisichohitaji siasa, na uchawa juu..viongozi wetu kuweni na huruma na hili Taifa!
 
Wanaopendwa na wananchi wamegoma kushiriki uchaguzi wa kipuuzi.
 
Mmejitengenezea wakosoaji wawe CHAUMA na UPDP
Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais alisikika kwenye campaign zake kuwa akishinda ataakisha anampa shavu bi tozo. Wonders shall never end in the Banana Republic!
 
Back
Top Bottom