Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

Huyu mama akili ziro...wapambe chawa wamemshauri ujinga eti mpinzani awe jela chama kifungiwe ili abaki yeye...akili gani matope..yaani utafikiri hauna kampeni ....maana anazunguka yeye na misukule yake kama wachaw vile
 
Kampeni na uchaguzi ulikuwa mwaka 2015 bwana....haitakuja tokea tena.
1. ELIMU
2.ELIMU
3.ELIMU.....
R.I.P ENL 🙏🙏🙏🙏🙏
Ilikuwa moto balaa

Tumegeuka kuwa kituko kwa kweli
 
Kampeni za China na Urusi huwa zina makelele?
Safari hii itabidi wagombea wetu waingie X, instagram na facebook kusaka na kujibu hoja za CHADEMA kama ilivyokuwa kwa bunge la 2020 ili angalau kampeni ichangamke kidogo. 🤣 🤣
 
Halaf unalisia lisamia nyenyenye eti ndani ya siku 100 nitaunda tume ya maridhiano, kwa ajili gani? Kuridhiana na nani? Kamkosea nani? And so she knows anafanya makosa? Sijui kuona libibi fala kama hili wallah
 
Ngoja kwanza,eti mwaka huu kuna uchaguzi?Usidanganyike.Hakuna uchaguzi. Unayoona yote ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi.
 
Ili uchaguzi uchangamke ngoma zipigwe wengine hadi meno yang'oke chadema wamekimbia ndondi
 
Hivi siku hizi raia wote ni CCM naona kwenye kampeni ni kijani kitupu hata raia wakitoka shamba kuja kusikiliza sera wanavaa sare au wanapewa mkutanoni
 
Vyama vinavyoshiriki vyote habikubaliki hii maana yake wananchi wameunga mkono No reform No Election mikutano yao ilikua na msisimko mkubwa kuliko hii ya sasa iliyojaa Hadaa na Ghiliba
 
Ni tofauti na wewe unavyoona
Kampeni za mwaka huu zimenoga sana na ushindani ni mkali sana
Shida umekariri Njia moja
 
Fanya 200%itapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…