Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

Kampeni za mgombea na CEO wa kampuni yetu hazina vibe. Bora hata hata mwenge wa uhuru una vibe
 
Mi naomba tu kujua kama uchaguzi huu una waangalizi wa kimataifa?
 
Nani kukwambia CCM inafanya siasa?
CCM sio chama cha siasa bali CCM =Serikali=TISS=POLISI=JWTZ. Hakuna siasa zinazofanywa na CCM, ni maigizo tu.
 

View: https://www.instagram.com/reel/DONzPWaAgn2/?igsh=eTQxa3Z3cTc1MTFm
 
Ccm kwa sasa inaishi kipropaganda tuu
 
CCM sikio la kufa. Wacha wayanywe si washayakoroga wenyewe. 29th October mpeche mpeche.
 
..tatizo ni mgombea wa Ccm.

..kwanza, si mjenga hoja mzuri.

..pili havutii, yaani sio pisi kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…