GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Nikiri kuwa mwanzoni nilikuwa nachukulia poa swala la maandamano ya tarehe 29 October. Niliona kama Mange anapoteza muda.

But ukweli ni Kwamba maandamano yanazidi ku gain momentum. Tumeanza kuona viongozi wa chama na serikali wameanza kutoka na kutoa vitisho.

Tumeona Hadi Chawa kina Haji Manara wanatoka na kuponda maandamano.

In my opinion lengo lipo pazuri sana. Can you imagine wewe ni raisi unagombea muhula wa pili then half of the population wanasema wataandamana siku ya kupiga kura. Je maandamano hayo yanatoa picha gani Kwa

-Ushindi wa Samia

-International observers

-Donors.

Serikali kamwe nasema kamwe msije dharau security alert yeyote, maana ata Nepal mwanzoni serikali iliwachukulia poa waandamanaji.

Narudi kulala.

Mto wa mbu
Illinois
 
Nahisi tunaweza kufeli, ila FISIem ndio ijue tumechoka usenge, sisi keyboard warriors tuaondoka, wanakuja kina ANODI SHOZNIGA wa ukweli..
Kadri siku zinazidi, wanaochoka wanaongezeka, keyboard warriors wanapata ujasiri...
Kama sio 29/10 basi 2030 haipiti, maana niwajuavyo viongozi wetu walivyo vichwa maji, maandamano yakifeli ndio watazidi kufanya mambo ya hovyo wakiona hatuwezi wafanya kitu.

Shida ya viongozi wetu ni USHAMBA wa madarakaka, hawajui kula na VIPOFU
 
Viongozi wengi wajinga Kwa IQ ya Samia ,Makonda,Chalamila unategemea nini
 
Back
Top Bottom