Sasa ww jasiri ulikua wapi siku zote mpka ukakubali nchi yetu kufika hapa?Lazima kuna wachache lazima waumie kwa faida ya wengi, waoga wachache kama wewe ndio wamefanya nchi yetu iwe hapa leo
Kwa maana hiyo unamaanisha kuwa na sisi tukiitoa hii serikali dhalimu ya ccm isiyojali kabisa wanainchi, basi na sisi tutakuwa na maisha ya congo au Libya sio?Na sasaiv kila mnepali analipwa au kupewa hela eee?
Mambo yapo shwari eti?
Eeeeh! Na nlikuwa nimesahau kweli libya napo wanakula vinono vya nchi eti?
Eeee kongo mambo shwari sana ee?
Hakuna cha uvccm hapa wala baa ya vichaa..Kwa maana hiyo unamaanisha kuwa na sisi tukiitoa hii serikali dhalimu ya ccm isiyojali kabisa wanainchi, basi na sisi tutakuwa na maisha ya congo au Libya sio?
Kwamba umeshaiona kesho ya taifa tukishaiondoa tu ccm madarakani, basi tutaishi maisha mabovu sana, hivyo ni bora tuendelee kuwa chini utawala wa ccm tuna enjoy sio?
Mbona nyie UVCCM mna reasoning mbovu kiasi hiki?
Ndio umeandika nini sasa hapa?Hakuna cha uvccm hapa wala baa ya vichaa..
Nyie mnaoishi kwa kila kujifanya anajua mnakosa mikakati ya kisiasa na mmebakia kuwa wazindua slogans kila siku ndo mmekosa reasoning kwa sababu kila mnachobuni mnakuja na null hypothesis.
Kila mtu atumie haki yake kikatiba tarehe 29 oct(hak ya kupga kura au haki ya kuandamana) then tuone atakaumizwa na matokeo ya haki yake kikatiba.
Yaani nyie bawachaa mnadhani jeshi la polisi ni redbrigade kwamba inaweza kuamriwa na kila mbwa wa kamati kuu?Ndio umeandika nini sasa hapa?
Nyie UWT mna matatizo sana kwenye bongo zenu... okay na hao mapolisi mnaowategemea pia wana shauku ya kuona hili liserikali lenu linalonuka ufisadi wa kila aina linaanguka na kupata serikali mpya itakayojali ustawi wa kila mtu.
Sasa tanzania hii tuna jeshi la polisi au toilet paper tu ya mtawala?Yaani nyie bawachaa mnadhani jeshi la polisi ni redbrigade kwamba inaweza kuamriwa na kila mbwa wa kamati kuu?
Punguza kwanza hasira twende kwa data/exhibitsSasa tanzania hii tuna jeshi la polisi au toilet paper tu ya mtawala?
Yaan hao mapolisi wenu hawana tofauti na toilet paper ambayo mama Abdul huwa anajifutia kwenye uchi wake kila akimaliza kukojoa..
...jeshi letu la polisi lipo kwa ajili ya kumtumikia mama abdul na genge lake la majizi, yaan lipo kwa ajili ya kumlinda yeye dhidi ya watanzania wazalendo wenye hasira kali na uongozi wake huu dhalimu ulioshindwa karibu kila kitu.
****** kweli wewe, yaani unaniuliza kabisa nini ambacho hii serikali dhalimu imeshindwa kufanya?Punguza kwanza hasira twende kwa data/exhibits
Tuambue ni kitu gani ambacho serikali hi unayoiita dhalimu imeshindwa kufanya nini..uje na exhibit halafu utupe mifano ya hao watanzania wazalendo tuone uzalendo wao!
Mangi mbege ilivyo tamu unataka uwaachie kina nani?Tumia mitandao ya kijamii kwa fursa! epuka kusambaza ujumbe, picha au video zenye maudhui ya uzushi, matusi, udhalilishaji au uchochezi. Mawasiliano ni Fursa