GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
 
Unaongea upuuzi gani?
Alafu lazima useme uko wapi,
Ilinoiss ni sehemu ya kutupa taka.
Uchaguzi utaendelea na Rais ni huyo hapo mnae.
Angalia hii Ng'ombe, Illinois yenye GDP ya $1.08T yaani uchumi wa Jimbo ni mkubwa sawa na uchumi wa nchi ya Uturuki, afu we mavi upo bongo na uchumi wa $85B unaropoka
 
Yameshika kasi wapi huko?
Kwenye majeshi yote, askari wetu vilaza wataandamana kwa niaba yetu huku sisi tukiwa majumbani kwetu maana hatutaenda kupiga kura. Majeshi ya Tanzania yanamtii sana Mange Kimambi akiitisha maandamano chap wanatii amri.😄😄
 
mtu timamu awezi poteza muda kuandamana barabarani weledi wana weka vema ndugu
 
kwa ufupi ni kwamba wanaandamana kwenda kuharibu kura...
 
Watanzania wameshachoshwa na utapeli wa CCM
 
Nikiri kuwa mwanzoni nilikuwa nachukulia poa swala la maandamano ya tarehe 29 October. Niliona kama Mange anapoteza muda.

But ukweli ni Kwamba maandamano yanazidi ku gain momentum. Tumeanza kuona viongozi wa chama na serikali wameanza kutoka na kutoa vitisho.

Tumeona Hadi Chawa kina Haji Manara wanatoka na kuponda maandamano.

In my opinion lengo lipo pazuri sana. Can you imagine wewe ni raisi unagombea muhula wa pili then half of the population wanasema wataandamana siku ya kupiga kura. Je maandamano hayo yanatoa picha gani Kwa

-Ushindi wa Samia

-International observers

-Donors.

Serikali kamwe nasema kamwe msije dharau security alert yeyote, maana ata Nepal mwanzoni serikali iliwachukulia poa waandamanaji.

Narudi kulala.

Mto wa mbu
Illinois
Half of the population 😂😂😂😂
Unamaana watu milioni 32 waandamane.
Ccm hawawezi
CHADEMA hawawezi
Act hawawezi kuandamanisha idadi hiyo ya watu hata vyama vyote vikiandama haitafika half of the population.

KWA TAARIFA TU NAKUPA WATU WATAKAOANDAMANA HATA 1,000 HAWATAFIKA.
NITAKUKUMBUSHA
NA HAO WACHACHE WATADHIBITIWA ASUBUHU SANA KABLA HATA HATUJAENDA KUNYWA CHAI
 
Son of the bitch
Hii ndiyo ulijifunzia Illinois?
Ungekuwa na akili timamu kidogo ungesoma uelewe ulicho andikiwa hapo; halafu ungeomba radhi kwa upotofu ulio uwasilisha.

Sasa mtu kama wewe nawe unataka kweli tuseme unao mchango muhimu katika kupambana na haya majambazi chini ya Samia Suluhu Hassan?
 
Kingereza ni tatizo Tanzania..

Ila Tumsamehe tu maana ngeli sio lugha yetu ya kwanza.
 
Nikiri kuwa mwanzoni nilikuwa nachukulia poa swala la maandamano ya tarehe 29 October. Niliona kama Mange anapoteza muda.

But ukweli ni Kwamba maandamano yanazidi ku gain momentum. Tumeanza kuona viongozi wa chama na serikali wameanza kutoka na kutoa vitisho.

Tumeona Hadi Chawa kina Haji Manara wanatoka na kuponda maandamano.

In my opinion lengo lipo pazuri sana. Can you imagine wewe ni raisi unagombea muhula wa pili then half of the population wanasema wataandamana siku ya kupiga kura. Je maandamano hayo yanatoa picha gani Kwa

-Ushindi wa Samia

-International observers

-Donors.

Serikali kamwe nasema kamwe msije dharau security alert yeyote, maana ata Nepal mwanzoni serikali iliwachukulia poa waandamanaji.

Narudi kulala.

Mto wa mbu
Illinois
Khadija kopa ajiandae kurudi zake bububu
 
Hii ndiyo ulijifunzia Illinois?
Ungekuwa na akili timamu kidogo ungesoma uelewe ulicho andikiwa hapo; halafu ungeomba radhi kwa upotofu ulio uwasilisha.

Sasa mtu kama wewe nawe unataka kweli tuseme unao mchango muhimu katika kupambana na haya majambazi chini ya Samia Suluhu Hassan?
We ni mtu ninae kuheshimu sana,shukran mkuu
 
Nina tamani hiki kitu kitokee Oktoba 29 ila kwa jinsi ninavyowafahamu vizuri wa Bongo hakuna chochote kitatokea na kila mtu atakuwa na mambo yake tu anayojua yeye hio siku
 
Labda muandamane humu mitandaoni na sio mitaani

Akili kumkichwa mwenzako yupo America huko ww endeleza chochezi zako tuone mwisho wako
Lazima kuna wachache lazima waumie kwa faida ya wengi, waoga wachache kama wewe ndio wamefanya nchi yetu iwe hapa leo
 
Nina tamani hiki kitu kitokee Oktoba 29 ila kwa jinsi ninavyowafahamu vizuri wa Bongo hakuna chochote kitatokea na kila mtu atakuwa na mambo yake tu anayojua yeye hio siku
Nikukumbushe umesahau msimu wa pili wa kikwete? Jambo lipo
 
Back
Top Bottom