Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Nepal hawana mwenge wewee😂😂Na Nepal ilikuwa hivyo hivyo
Nepal hawana mwenge wewee😂😂Na Nepal ilikuwa hivyo hivyo
Una hoja usikilizweNahisi tunaweza kufeli, ila FISIem ndio ijue tumechoka usenge, sisi keyboard warriors tuaondoka, wanakuja kina ANODI SHOZNIGA wa ukweli..
Kadri siku zinazidi, wanaochoka wanaongezeka, keyboard warriors wanapata ujasiri...
Kama sio 29/10 basi 2030 haipiti, maana niwajuavyo viongozi wetu walivyo vichwa maji, maandamano yakifeli ndio watazidi kufanya mambo ya hovyo wakiona hatuwezi wafanya kitu.
Shida ya viongozi wetu ni USHAMBA wa madarakaka, hawajui kula na VIPOFU
Son of the bitchMi naona mpango wa maandamano unazidi kufeli maana hao wanaohamasisha maandamano ndo wanaongoza pia kuonyesha ni jinsi gani vyombo vya ulinzi vinatoa onyo na kueleza namna gani wamejipanga kuzuia.
Ni kama wahamashinda maandano wanahamasisha na kuwatishia watu wao.
What a useless spermNepal hawana mwenge wewee😂😂
Kawaida hyJiandae kula za uso dogo😁
Huspoteze NauliKawaida hy
You have to use some seconds to understand meWhat a useless sperm
Wenzio wa Nepal walijipa moyo kama wewe na mwisho wa siku wamekimbia nchi , endelea kuishi Kwa mazoeaUmetumia data gan kubain ya kuwa nusu ya watz wataandamana..
Hakuna kitu hapo..mnajilisha upepo
Na sasaiv kila mnepali analipwa au kupewa hela eee?Wenzio wa Nepal walijipa moyo kama wewe na mwisho wa siku wamekimbia nchi , endelea kuishi Kwa mazoea
Subiri siku ifike tukuone frontline pale usiwe keyboard warriorSasa mbona serikali imeanza kutoa Milio
😂😂TktkYameshika kasi wapi huko?
So Libya walikuwa Wana njaaTanzania bado maisha rahisi sana hakuna wa kuandamana ova