Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Nilitegemea kusoma zaidi, ila Ghalfa thread/ bandiko limefika mwisho.Narudi kulala.
Mto wa mbu
Sasa mbona serikali imeanza kutoa MilioLabda muandamane humu mitandaoni na sio mitaani
Akili kumkichwa mwenzako yupo America huko ww endeleza chochezi zako tuone mwisho wako
Ndefu inachosha- Nilitegemea kusoma zaidi, ila Ghalfa thread/ bandiko limefika mwisho.
Na Nepal ilikuwa hivyo hivyoUsiogope mkuu watanzania ni wa babe kwenye mitandao tu
Son of the bitchAcha uchochezi labda muandamane humu
Nimetumia data za INECUmetumia data gan kubain ya kuwa nusu ya watz wataandamana..
Hakuna kitu hapo..mnajilisha upepo
Dodoma unakoenda interview na utakula za uso😁Yameshika kasi wapi huko?
Eh Kwahy kutakuwa hakuna interview?Dodoma unakoenda interview na utakula za uso😁
Viongozi wengi wajinga Kwa IQ ya Samia ,Makonda,Chalamila unategemea niniNahisi tunaweza kufeli, ila FISIem ndio ijue tumechoka usenge, sisi keyboard warriors tuaondoka, wanakuja kina ANODI SHOZNIGA wa ukweli..
Kadri siku zinazidi, wanaochoka wanaongezeka, keyboard warriors wanapata ujasiri...
Kama sio 29/10 basi 2030 haipiti, maana niwajuavyo viongozi wetu walivyo vichwa maji, maandamano yakifeli ndio watazidi kufanya mambo ya hovyo wakiona hatuwezi wafanya kitu.
Shida ya viongozi wetu ni USHAMBA wa madarakaka, hawajui kula na VIPOFU
Jiandae kula za uso dogo😁Eh Kwahy kutakuwa hakuna interview?