GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Una hoja usikilizwe
 
Mi naona mpango wa maandamano unazidi kufeli maana hao wanaohamasisha maandamano ndo wanaongoza pia kuonyesha ni jinsi gani vyombo vya ulinzi vinatoa onyo na kueleza namna gani wamejipanga kuzuia.

Ni kama wahamashinda maandano wanahamasisha na kuwatishia watu wao.
 
Kwa akili yako MANGE anaweza itisha maandamano bila CCMB yenyewe?


Anaingiza tu pesa za kenge
 
Tanzania bado maisha rahisi sana hakuna wa kuandamana ova
 
Haya uliyoyandika ndiyo yanadhihirisha uduni mkubwa wa fikra. Watu wote wangekuwa na fikra duni kama hizi za kwako, Dunia hii isingekuwa na hatua yoyote ya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…