GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Serikali kamwe nasema kamwe msije dharau security alert yeyote, maana ata Nepal mwanzoni serikali iliwachukulia poa waandamanaji.
Unataka polisi wasichukulie poa?? Unataka wawapige wananchi? Mchwa ukiwa kichwani fikra zote hutoweka.
 
Hivi Lucas Mwashambwa atajitokeza kweli kwenye maandamano!

Lilivyo lioga siku ya maandamano litakuwa limejificha nyuma ya sketi ya samia linachungulia kwa mbali.

Chezea virungu vya muliro weye!
 
Serikali kamwe nasema kamwe msije dharau security alert yeyote, maana ata Nepal mwanzoni serikali iliwachukulia poa waandamanaji.
Sasa ndio umeandika takataka gani hapa! Mara moja umejibadili kuwa chizi bila ya kujitambua?

Kwa nini hutaki hao "serikali wasidharau"?

Kwa taarifa yako; wadharau au wasidharau hilo haliwezi kubadili chochote. Samia na Genge lake lazima waondoke.
 
LABDA YAFANYIKE ONLINE HAYO MAAMDAMANO

Ngoja tuone
 
Usiwasanue!!
 
Sasa ndio umeandika takataka gani hapa! Mara moja umejibadili kuwa chizi bila ya kujitambua?

Kwa nini hutaki hao "serikali wasidharau"?

Kwa taarifa yako; wadharau au wasidharau hilo haliwezi kubadili chochote. Samia na Genge lake lazima waondoke.
Son of the bitch
 
Kiuhalisia maandamano huanza na kukuzwa zaidi iwapo yatanzishwa na moja ya makundi haya;
1. Vyama vya siasa yaani upinzani.
2. Vyama vya wafanyakazi.
3. Taasisi za wafanyakazi sekta binafsi au serikali.
4. Wanafunzi wa vyuo vikuu.
5. Wananchi wote kwa ujumla.
Iwapo watakuwa na madai ya kueleweka na mara zote huanza na migomo serikali ikishindwa kuwasikiliza ndio migomo hufuatia.

Pia maandamano yetu mara zote yapo kiboyaboya sana mwanzilishi unakuta yupo US halafu anataka kushawishi wananchi wagonga ulimbo waandamane kwa sababu zisizo athiri maisha yao moja kwa moja.
 
Haitakiwi kudharau au kupuuzia tishio lolote la kiusalama hata kama linatolewa na mwendawazimu.
 
Kama una hela ya kujitibia pia ya kula ukiwa hospitali kaandamane
 
Nasemajeee nasemajeee hamna kitu mtafanya hiyo October 🀣🀣🀣
#Octobertunatiki
 
In my opinion lengo lipo pazuri sana. Can you imagine wewe ni raisi unagombea muhula wa pili afu half of the population wanasema wataandamana siku ya kupiga kura. Je maandamano hayo yanatoka picha gani Kwa
 
Unaongea upuuzi gani?
Alafu lazima useme uko wapi,
Ilinoiss ni sehemu ya kutupa taka.
Uchaguzi utaendelea na Rais ni huyo hapo mnae.
 
Maandamano hayatokeiii hivi hivi yanahitaji mandalizi na organization KUANZA ,,,mtu kusema tu mtandaoni tutaandamana haitoshi,,,,
NB Kenya na Nepal kulikua na magroup ya telegram zaidi ya 200+ ambamo watu walipanga mambo mbalimbali kuhusu mandamano huku just kauli tu ,,za social media πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…