GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake
Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu.

Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign.

Leo hii Samia ni wakuwaambia mabalozi wa nyumba kumi, siku ya kupinga kura wapitie nyumba Kwa nyumba kuhamasisha watu waendesha kupiga kura,,this is a shame.

CCM mtakubaliana na Mimi kuwa hamjawai Fanya uchaguzi huku ndani Kuna internal resistance Kwa Mgombea wenu kama kipindi hiki. Sahivi maandamano Yana trend kuliko uchaguzi wenyewe.

Maandamano yafanikiwe au yadifanikiwe nadhani ujumbe umefika Kwa Samia na CCM, kitu ninacho kiona after election Samia hatoongoza nchi Kwa Raha kama alivyoongoza nchi kipindi Cha 2021-2023.

Msiwaone kina Kenyatta na Ruto walifanya hand shake na Raila, lengo lilikuwa pawepo na stability kwenye nchi.

CCM na Samia kula chumba icho
 
Attachments

  • 20251010_151958.jpg
    20251010_151958.jpg
    75.6 KB · Views: 33
It’s a ticking time bomb!
Ni kama puto linalozidi kujaa na linakaribia kupasuka. Atapata shida sana kuongoza…

Ni wazi, akiingia atajaribu kupoza mambo kwa kuunda “kundi la maridhiano” na labda kuanzisha mchakato hewa wa katiba ambao itakuwa ni geresha tu.

Lakini public frustration hiko juu sana, itatakiwa aendelee kuteka na kupoteza watu kusudi walau mambo yaende. Na hapa ndipo puto litapasuka.
 
Lissu akisusia Maridhiano Basi Maridhiano yatakuwa useless
 
Sasa kama makada wenyewe kwenye mikutano ya kampeni zao wamekazana kutajataja hayo maandamano yataachaje ku trend?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Msiwaone kina Kenyatta na Ruto walifanya hand shake na Raila, lengo lilikuwa pawepo na stability kwenye nchi.
Wakenya wako hai haiwezekani kuwaburuza, vinginevyo wataliamsha dude.

Lkn watanzania ni maiti wanaweza kuburuzwa kwa namna yoyote hata kama hawataki.
 
Back
Top Bottom