GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ofisi zote za ccm piga firee😁
 
Hahahahahahaha hii ina nguvu zaidi
 
Uyu mama kaharibu nchi sana, uwezi ukawa unaiba alafu watu wakakaa kimya, yeye alitaka awe anaiba alafu watu wakae kimya ndo maana anateka na kuua watu, ina maana kwa staili hii kuna wengi watapotezwa akiendelea kuwa madarakani
 
Samia sijui ni shetani Gani kaingia
 
its normal kipindi cha uchaguzi, unaruhusiwa kumkataa mgombea yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…