Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Yaani kumedoda aswaaHakuna marekebisho hakuna uchaguzi relax
Ngoja tuone,by the way umepoteaKwasababu hakuna uchaguzi mpaka marekebisho yatokee.
unaish wapi wewe ambapo huoni kuchangamka mitaani ?Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
Hao ni mazwazwa wa mamaViumbe kutoka nchi jirani maarufu tumeanza kuona mtirirko wa viumbe wanaharakati
Tegetaunaish wapi wewe ambapo huoni kuchangamka mitaani ?
Hahahaha sawa sawa mto wa mbuHao ni mazwazwa wa mama
Let them say no don’t reject yourself before the race even starts.Hakuna marekebisho hakuna uchaguzi relax
No reforms no electionKatika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
Kwanza hakuna uchaguzi.Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.
Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa maarufu kweli kweli
Huu mwaka umepoa kabsa, yaani ni wabaridii. Hatuoni Shamrashamra,hamasa za uchaguzi,Tunachokiona ni NO REFORM NO ELECTION ndo naona inabamba.
Je watanzania hawataki uchaguzi? Mbona kumepoa sana hivi...
NRNEunaish wapi wewe ambapo huoni kuchangamka mitaani ?
Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli.